Trapped to a married man

Nia ya usiri ni kuto muathiri bi mkubwa
Ila ndugu wa mume mpaka mama mkwe mawifi marafiki wananijua
Nisingependa huyu mke mkubwa aumie kwasababu ya mume wake ndio maana nalitafakari hili
It seems huyo mama mkwe na familia wanataka kumkomoa huyo mke mkubwa vile ukute hawalambi makalio na wewe unajipendekeza huko uonekane vizuri, so be careful ka ana mtenda mkewe unafikiri wewe papuchi yako inatoka dunia nyingine?
 
Nia ya usiri ni kuto muathiri bi mkubwa
Ila ndugu wa mume mpaka mama mkwe mawifi marafiki wananijua
Nisingependa huyu mke mkubwa aumie kwasababu ya mume wake ndio maana nalitafakari hili
It seems unamaamuzi yako tayari ila tuu unataka wana JF wakupitishie mawazo yako hayo ya kuwa na mme wa mtu...nakushauri ishinde tamaa acha kabisa kuingilia ndoa ya mwenzio ilhali unae kijana mwenye nia ya dhati.

Nakazia...achana na mme wa mtu!
 
Nia ya usiri ni kuto muathiri bi mkubwa
Ila ndugu wa mume mpaka mama mkwe mawifi marafiki wananijua
Nisingependa huyu mke mkubwa aumie kwasababu ya mume wake ndio maana nalitafakari hili
Mimi naamini kabisa kwa maelezo yako ni umeshafanya maamuzi, upo hapa kupata baraka zetu tu.

Mimi nakubariki, na tunapenda baada ya miaka kadhaa utuletee mrejesho.
 
Hii mada unataka kuharibu na Mambo ya biblia naomba tuweke kando hayo Mambo kabisa.
Hafu kwanini uangalie upepo wa bi mkubwa huko Ni staki na taka na tamaa tu.
 
Nimekuelewa.
 
Hapa ni dhahiri mwanamme mwenzetu ameyumba kidogo hizi rasilimali zote alizotumia angewekeza kwenye familia yake hakuna ambacho, angepoteza

ila ndiyo hivyo tena ana ile ego ya Alpha male vyote vyake apate vingi
 
It seems unamaamuzi yako tayari ila tuu unataka wana JF wakupitishie mawazo yako hayo ya kuwa na mme wa mtu...nakushauri ishinde tamaa acha kabisa kuingilia ndoa ya mwenzio ilhali unae kijana mwenye nia ya dhati.

Nakazia...achana na mme wa mtu!
Tumewaza pamoja.

Tumbariki tu hakuna namna
 
Nia ya usiri ni kuto muathiri bi mkubwa
Ila ndugu wa mume mpaka mama mkwe mawifi marafiki wananijua
Nisingependa huyu mke mkubwa aumie kwasababu ya mume wake ndio maana nalitafakari hili

Wewe bana sikiliza..!

Kwanza, wengi wanaojidai kukushangaa hapa hasa wanawake, wao wenyewe wanatembea na waume za watu!!

Pili kama ulivyosema wewe, maisha ni mafupi haya, wanaosema ooh vumilia sijui usiipe nafasi furaha ya muda mfupi... wee usiwasikilize hao wana stress zao. Bora furaha ya muda mfupi kuliko kukosa kabisa furaha. Hakuna zawadi utakayopewa kwa kuishi maisha ya tabu. Maisha ni hayahaya usipoenjoy sasahivi ndio basi tena.

Ushauri: We chakufanya, olewa na hako kakijana kanakokupenda ila usiachane na yule mume wa mtu. Badala ya kufunga ndoa kisirisiri ambapo itakulazimu kuachana na yule kijana, wewe olewa na kijana huku ukiendelea kumfaidi mume wa mtu. Nina uhakika mume wa mtu hatakua na pingamizi katika hilo. Hii itakua ni win win situesheni.
 
Hii mada unataka kuharibu na Mambo ya biblia naomba tuweke kando hayo Mambo kabisa.
Hafu kwanini uangalie upepo wa bi mkubwa huko Ni staki na taka na tamaa tu.
Hakuna tamaa hapo, bali akili imechukua nafasi yake. Wake zetu wengi ni wabinafsi, wanataka wale mema ya nchi peke yao. Wakati wapo wenzao kibao wanahitaji mema hayo.
 
It hurt a lot bana ndio Mana nikiwa kwa ndoa nitafanya yangu kwa umakini wallah, siwezi ruhusu kitu tulichochuma kije kusambaratishwa wallah kwanza na deal na mume and mchepuko. So ni heri mtu kukutana kwa starehe na kuzaa mengine Bora kuwa independent tukichokana na mkataba mind ur bussiness in peace kuliko kudaganyana na kufichana
 
Naomba urudie tena kumwambia haya maneno. Umesema vizuri sana.

Rudia, you might save some souls.
 
Hakuna tamaa hapo, bali akili imechukua nafasi yake. Wake zetu wengi ni wabinafsi, wanataka wale mema ya nchi peke yao. Wakati wapo wenzao kibao wanahitaji mema hayo.
Ndio kwani mumekatwaza kula mema ya nchi kila mtu na Uhuru wa mwili wake nashangaa mtu Hali maisha akijifanya mtakatifu woi Mimi siwezi
 
Mimi huyu sijampa chochote sijamfanyia lolote la ajabu kama wanaume wengine namtreat sawa na wengine
Hiyo issue ya kudanja inatafutiwa ufumbuzi mwingine kabla ya kudanja ili mke asiyekuwa na makaratasi aweze kuishi vyema pamoja na watoto tutakaowazaa.
Kitu nilicho gundua, mpaka sasa hamjajishtukia kua nyinyi ndio wahusika wakuu alafu mnahadithiana situation zenu [emoji23][emoji23]
 
Ndio kwani mumekatwaza kula mema ya nchi kila mtu na Uhuru wa mwili wake nashangaa mtu Hali maisha akijifanya mtakatifu woi Mimi siwezi
Sijakuelewa hapa unamaanisha nini ?
 
Hapa ni dhahiri mwanamme mwenzetu ameyumba kidogo hizi rasilimali zote alizotumia angewekeza kwenye familia yake hakuna ambacho, angepoteza

ila ndiyo hivyo tena ana ile ego ya Alpha male vyote vyake apate vingi
Mimi mume wangu nakuwa makini yeye Sina shida naye kabisa afanye lolote na michepuko Ila anapogusa masilahi ya vitu nimehangaika navyo nitakachofanya Mungu anajua wallah. Sometimes in life vitu vingine tuki ignore Ila ninavopenda hela halAli
 
Kitu nilicho gundua, mpaka sasa hamjajishtukia kua nyinyi ndio wahusika wakuu alafu mnahadithiana situation zenu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchepuko juu ya mchepuko 😜😜😜
Dunia hadaa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…