Cariha umalaya umekupofusha , na ww ni mkristo wa kuzaliwa ila majini ya kishetani ndio yalikutawala moyo wako na bora unyamaze kimya kuliko kuendelea kupotosha watu.
Mada zako zote unashadidia usingle mother , ubinafsi , kuchepuka , kudanga , kuwa huru , unasema wewe mkristo na unaongozwa na ndoa ya kikristo unalijua neno la Mungu wewe ?
Neno la Mungu linasema huna haki wala uhuru kwa mwili wako unapoolewa au kuoa , kwenye ndoa mke ni mume ndiye aliyeshika uhuru wako na mume ni mke ndiye aliyeshika uhuru wako , sasa nyie akina cariha kizazi kilichopotea kwa kukosa malezi na kuongozwa na tamaa zenu mmekuwa mstari wa mbele kupinga mpango wa Mungu aliounzisha kuhusu ndoa , mmejawa na mafundisho ya kishetani ni wepesi kutoa ushauri wa kishetani kama unavyomshauri binti huyu ambaye naye nafsi yake inaongozwa na tamaa kali inayozidi hata kweli na hofu ya Mungu .
Wanawake wote wanaofanikiwa kujenga ndoa ni wale wanaomtegemea Mungu kwa kufuata kweli ya neno la Mungu kwani mwanamke ( Hawa) ndiye aliyedanganywa na shetani na si mwanaume mpaka dhambi na mauti ikaingia ulimwenguni , wanawake wanaojitambua wanajua hilo na hupingana na shetani usiku na mchana na wengi wao ndio hao wenye ndoa imara , watoto wenye malezi bora na watoto wao huwa baraka katika jamii , akina
cariha mkae mkijua hamtaweza kamwe kumshinda Mungu katika mipango yake, lakini Mungu atabaki kuwa Mungu wamwaminio wapo na nyie mnaomwamini shetani kwa mgongo wa ukristo wa kuzaliwa endeleenj na maisha yenu ya kipagani.
Hamjachelewa kumbukeni kumrudia Mungu kabla hamjaswaliwa , saidieni jamii sio kuipotosha .