Trapped to a married man

Trapped to a married man

Mke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Mkeo akikuacha ili uendelee vzr na huyu mchepuko believe ndo utajua unampenda nani sana, sometimes it takes to loose someone in order to know their worthy!! Na ukianza kuishi na huyo side chick miaka kadhaa na kupata watoto ndo utajui kimya kinyemi nothing else,! Kuna watu wamepitia same situation bi mkubwa alivyojua akaamua kuwapisha, mume akaanza kuishi na bi mdogo where hakuna zile shauku tena za kufanya kwa siri ili waonane, wakaanza kuishi pamoja, nadhan mwanaume yale maajabu kaona hamna tena, saiv anapiga magoti kuomba mke wake and it is pretty late, kabaki miserable anaona mapoteza mke na watoto, na yale mahaba aliyofikir anayo kwa mchepuko hamna kitu!! Mwanaume hapo ndo wanafeli, wakiwa wawili unaona yule mpya ni mzuri, mtamu, ishu wa kwanza akiondoka wanaanza tenq kumtaka tena😂SMH
 
Mdogo wangu Mungu kakupa dhahabu mbili anataka uchague. Mimi ningekuwa wewe mingechagua huyo ambae hana Mke.

My dia mapenzi yana ukomo, ebu piga picha Mke mkubwa akijua? Duniani hakuna siri, utaenjoy kwa muda mfupi sana.ukishazaa Mme mapenzi anarufisha kwa mkewe.

Dia kabla hujaja hapa umemwambia mama yako? Hivi unajua Siku akijua nini kitatokea?

Mtu akishakuwa na title ya Mme wa mtu basi sio wako, usichezee hii bahati. Akikuoa vikwazo vitaanza, Mara watoto wanaumwa ndo maana sikuja, kumbe uongo.

Eti kuwa serious na maombi kwa Siku tatu. Fanya hivi.

Chukua vikaratasi viwili, andika majina yao kwenye karatasi hizo kila karatasi jina lake, weka kwenye biblia ( kwa imani yako) umwambie mungu kati ya hao akupe jibu sahihi, ongeea chochote umwambie wewe ni baba basi nioneshe njia nisipotee.

Baadae ya hapo kunja hivyo vikaratasi wakati umefumba macho, viweke chini, umwambie Mungu akuchagulie na okota kimoja fumbua macho urudi hapa unipe jibu.

Nb kuwa makini usipate mimba kipindi hiki ambacho huna maamuzi.
Hapa umemaliza
 
Weee wivu niutoe wapi nina barafu wa moyo wangu nimeshiba maluv dabi yake , huku nakuja sebulenj kuangalia nyie mnatafutiana nauli 🤣[emoji16]
Akinitumia nauli nikitoka huku bush nakuja kukusalimu na wewe
 
Uko blind , wake up and see, utajuta sana baadae baada ya kupata laana ya mke mwenzako
 
Back
Top Bottom