TRC - shirika la reli Tanzania kwakweli mmekuwa kero Kubwa sana kwasasa! Tunaheshim sana kazi mnayofanya lakini nyie hamtuheshimu WANANCHI wa Tanzania.
1. Mmeziba Barabara zoote za waenda kwa miguu, mkilazimisha watu wapite juu ya MADARAJA ambayo kiuhalisia bado hayajakamilika kujengwa. Hakuna alama ya wapita kwa miguu hakuna alama za barabarani! Hata fence juu ya MADARAJA hazijakamilika mnataka watu wadondoke wafe ndo akili iwakae sawa. Au mnataka ajali zitokee ndo mrekebishe.
2. Mmeziba Njia zoote za wapita kwa miguu mnawalazimisha wapite kwenye matobo ya chini kabisa! Huu si ubinadamu Wala ustarabu mmezingua kinoooma yaani apo.
3. Mmezingatia na watu wenye ulemavu au mnajifikiria nyie tu kuziba hizo njia, wajawazito je? Wazee je? Kwani nyie mnamatatizo gani mbona hamsomeki.
Solution: wekeni utaratibu mzuri toweni uzio huo woote, tengenezeni Railway cross nzuri.
Tuache hayo Mambo ya kizaman bhna hata Kama treni ni jipya haimaanishi mfanye mnavyotaka.
Maeneo: Majumba sita, Airport, mpaka gongo la mboto na maeneo mengine ambyo siyajui.
ASANTEN