TRC mnazua taharuki na madaraja yenu! Kwa hili mmetukosea sana wananchi

Picha ili kuongezea uhalisia katika maelezo yako mazuri, TRC watambue changamoto inayowakabili wakaazi wa Dar es Salaam reli mpya SGR inapikatiza maeneo hayo.
Watanzania ni walalamishi tu. Reli imewekwa fence route nzima na wameacha sehemu maalum za kuvuka aidha juu au chini ya reli. Hawa waungwana wanataka wavuke popote pale halafu wakigongwa na hio treni watalaumu kama wanavyogongwa na mabasi ya mwendokasi.
 
Mkuu hakuna hata pa kuvuka
 
Watanzania ni walalamishi tu. Reli imewekwa fence route nzima na wameacha sehemu maalum za kuvuka aidha juu au chini ya reli. Hawa waungwana wanataka wavuke popote pale halafu wakigongwa na hio treni watalaumu kama wanavyogongwa na mabasi ya mwendokasi.
Hakuna sehem wameacha ya kuvuka kwa miguu, na MADARAJA hayajakamilika, lakin Wana force watu wapite! Ni kero kubwa
 
TRC - shirika la reli Tanzania kwakweli mmekuwa kero Kubwa sana kwasasa! Tunaheshim sana kazi mnayofanya lakini nyie hamtuheshimu WANANCHI wa Tanzania.
1. Mmeziba Barabara zoote za waenda kwa miguu, mkilazimisha watu wapite juu ya MADARAJA ambayo kiuhalisia bado hayajakamilika kujengwa. Hakuna alama ya wapita kwa miguu hakuna alama za barabarani! Hata fence juu ya MADARAJA hazijakamilika mnataka watu wadondoke wafe ndo akili iwakae sawa. Au mnataka ajali zitokee ndo mrekebishe

2. Mmeziba Njia zoote za wapita kwa miguu mnawalazimisha wapite kwenye matobo ya chini kabisa! Huu si ubinadamu Wala ustarabu mmezingua kinoooma yaani apo

3. Mmezingatia na watu wenye ulemavu au mnajifikiria nyie tu kuziba hizo njia, wajawazito je? Wazee je? Kwani nyie mnamatatizo gani mbona hamsomeki

Solution: wekeni utaratibu mzuri toweni uzio huo woote, tengenezeni Railway cross nzuri,
Tuache hayo Mambo ya kizaman bhna hata Kama treni ni jipya haimaanishi mfanye mnavyotaka

Maeneo: Majumba sita, Airport, mpaka gongo la mboto na maeneo mengine ambyo siyajui
ASANTEN
Hama huko kama unaona tabu kuzunguka.

Nchi zingine, hata barabara za magari (highways) zimewekwa uzio ambao una sehemu za kutoka kila kilomita 10 tu, tena hiyo ni karibu ya miji au vijiji, ambako hakuna mji au kijiji unaweza kwenda hata kilomita 100 hakuna njia za matokeo au hata kugeuza gari.

Tembea uyaone.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mjini reli ya mwendo kasi inatakiwa kupita juu juu kama flyover. Nimena watu wanapita chini ya hayo matobo ambayo wakati mwingine ndiyo njia ya maji.
 
Watanzania ni walalamishi tu. Reli imewekwa fence route nzima na wameacha sehemu maalum za kuvuka aidha juu au chini ya reli. Hawa waungwana wanataka wavuke popote pale halafu wakigongwa na hio treni watalaumu kama wanavyogongwa na mabasi ya mwendokasi.
Wabongo na ustaarabu ni maji na mafuta
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tujiwekee utaratibu wa kuheshimu sehemu zinazowekwa kwa ajili ya jambo fulani, huwezi kupita tu popote au kukaa na kufanya biashara maeneo hayo. Wabongo tunataka tukatize tu kiswahili.

Pia na nyie TRC wahisheni kukamilisha madaraja mapema na kuweka alama zote, pale jirani na airport mmefungulia lile daraja ila pako hovyo balaa gari zinaingia na kutoka hovyo sana hapo hujagusa boda boda na bajaj.
 
Hawajali chochote kikubwa wanaangalia mishahara Yao tuu
Wewe ungekuwa ndiyo TRC, na unaishi nchi yenye wananchi ma-nyumbu kama yetu, kazi yao ni kulalamika tu ungefanya vingine? Nachotaka kusema ni kuwa wananachi wa Tanzania hatuelewi kikwazo chetu ni nini. Kkwazo ni sisi wananchi wenyewe. BTW kulingana na maelezo yako, mimi naona tatizo ni kutokamilika kwa hayo madaraja na siyo utaratibu wa kufunga vivuko visivyo rasmi. Kwenye madaraja wanatakiwa kukamilisha, na kuweka lift kwa ajili ya walemavu, wagonjwa na wazee. Sehemu nyingine zote zifungwe. Hii ndiyo standard ya dunia nzima.
 
Kwahio tujiwekee wenyewe hivyo vivuko mkuu.. wakati mwingne tusikae kimya eti kwasababu hatuishi huko
 
Hama huko kama unaona tabu kuzunguka.

Nchi zingine, hata barabara za magari (highways) zimewekwa uzio ambao una sehemu za kutoka kila kilomita 10 tu, tena hiyo ni karibu ya miji au vijiji, ambako hakuna mji au kijiji unaweza kwenda hata kilomita 100 hakuna njia za matokeo au hata kugeuza gari.

Tembea uyaone.
Hii ni kero kwa WANANCHI wote, Watanzania tuwe na upendo jaman hata kidogo tuu!! Kuhama sio suluhu ya Tatizo
 
Back
Top Bottom