pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Tupigwe mara ngapi??Tusije kuwa tumepigwa tena π€£π€£π€£π€£
Kwa akili hizo hamuwezi kununua mabehewa bora wanayohitaji Wasafiri ninyi endeleeni kupigiwa rangi mabehewa chakavu harafu mje na kiswahili kila kukicha...
Mbona haya ya wenzetu ya safari ndefu yako tofauti na yetuKwa hiyo safari za Dar to Moro February mnaanza na behewa zipi?
Hizi za masafa marefu?
Kumbe Morogoro ni mbali?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tupigwe mara ngapi??
TumeshapigwaMbona haya ya wenzetu ya safari ndefu yako tofauti na yetuView attachment 2426491
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii nchi ni ngumu sana .....sema Hawa viumbe bado wanazani watanzania tuliyo wengi bado tumelala......,Yaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.
Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Akishakuwepo PM tu lazima kuwe na jambo la uongoYaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.
Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
1. Yametangulia ya safari ndefu yafanye nini wakati reli haijafika hata Dom?Soma vizuri mkuu umeambiwa
Umeona hapo soma na hapa
Kwa hio huo mchongoko sio kwa ajili ya Dar-Moro? soma hapa
Mabehewa yapi yatatumika kwa safari ya Dar-Moro? Soma tena hapa
Bado haujaelewa? Mabehewa ya treni hizo pamoja na treni yatakuja Juni 2023 ila Safari zitaanza February 2023, sasa yatatumika mabehewa gani hio February 2023 safari zikianza?
Hilo anajua yeye ila mabehewa 14 kashayapokea,
π π π naona kuna seh zitakuwa zinapaaa na kutua , cjajua k.m ni moro au domWa kigoma (mbali) mabehewa yenu yamekujaππππ
Lifo kama lifo[emoji1787]Yaan kaanza kununua mafuta kabla ya kuagiza Gari kitaalam inaitwa Last in First out
Wewe umeelewa kitu gani katika maelezo hayo aliyotoa mkurugenzi?Ni jambo jema
Maelezo ya Masanja yamewalenga akina Maganga sio weweYaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.
Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Ingetosha kuita Bogie, tairi na rim hata mm nimestuka kwakweli.Kumbe treni ina tairi na rim ahsant kwa taarifa