TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

😆😆😆Deal limebuma, tungekaa kimya wangetupiga mabwege hawa. Wameona tumeshitukia wanabadili matumizi. Hapo tukikaa miezi sita utasikia mabehewa yaliyokuja ya safari ndefu yamepotea. Maana hii nchi yetu ni raha sana ukute ndo Channel ya comedy huko mbinguni, kama vilishawahi kuja vichwa vya treni halaf serikali ikawa haimjui mwenye navyo kwahiyo hakuna linaloshindikana
 
Kadogosa anabugi,, watu wanataka yale ya high speed train,, yale yako kama ndege[emoji16],bora asiwape matumaini, halafu yasije,, high speed train huwa ina operate kwenye njia yake special,, sidhani hiyo reli itamudu kupitishq high speed train
Ni hatari sana, asee
 
[emoji3544][emoji3544][emoji3544]
images%20(69).jpg
 
Wiki hii katika mitandao ya jamii kumekuwa na picha zikionyesha mabehewa yaliyoletwa sio yale yaliyoahidiwa kuletwa nchini kutokana na tofauti ya muonekano wake.
Natoa wito kwa TRC kujibu hoja zilizoibuliwa mitandaoni, hakuna mtu aliyeuliza hayo mabehewa ni ya safari za wapi, hoja za mitandaoni ni
tumejenga reli mpya ya kisasa ya SGR, jee vichwa hivi na mabehewa haya ni vichwa vipya vya kisasa au ni vikuu kuu?. Kama ni used ni tuelezwe tuu ukweli, na kuelezwa viliundwa luni, vimetumika kwa muda gani kabla havijakarabatiwa na sisi kuletewa, pia tuelezwe tumevinunua kwa kiasi gani na kuvikarabati kwa kiasi gani, na mwisho tuelezwe the value for money, tumeokoa fedha kiasi gani kwa kununua mabehewa ya mtumba, tungelinganisha na kama tungenunua mabehewa mapya?
Hoja hizi zijibiwe!
Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!
zijibiwe....
P
 
Wakifungua ndani tuta jua kama ni haya au la?
 
baada ya wiki, wabongo watang'oa taa zote izo , watang'oa izo pads nyuma ya siti, watang'oa usb ports zote

wabongo wanachostahili ni mabehewa ya gari moshi

wabongo wamelaaniwa
 
Hiki nacho ni kitu kingine kizito chenye ncha kali wamepigwa nacho wabongo.Kheee mimi nilipoona katelephone kaenda kule korea nikajua basi tena kazi imeisha , kuna majitu maongo jamani, loh sijapata kuona , tangia jamaa atuambie jiwe mzima aliongea naye kwenye simu kumbe moto ulishakata siku mingiii, nikajua kazi hapa tunayo.
 
Back
Top Bottom