Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Ndio utajua ni uongo mtupuYaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.
Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio utajua ni uongo mtupuYaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.
Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Umeniwahi kukomenti, yaani wanatufanya wananchi woote hamnazo kudadek zao.Yaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.
Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Ni hatari sana, aseeKadogosa anabugi,, watu wanataka yale ya high speed train,, yale yako kama ndege[emoji16],bora asiwape matumaini, halafu yasije,, high speed train huwa ina operate kwenye njia yake special,, sidhani hiyo reli itamudu kupitishq high speed train
Nimecheka mnoUkiona ufafanuzi umeanza, jua kua tumepigwa za uso nyingi Sana
Nb: yajayo haya furahishi kabisa
Natoa wito kwa TRC kujibu hoja zilizoibuliwa mitandaoni, hakuna mtu aliyeuliza hayo mabehewa ni ya safari za wapi, hoja za mitandaoni niWiki hii katika mitandao ya jamii kumekuwa na picha zikionyesha mabehewa yaliyoletwa sio yale yaliyoahidiwa kuletwa nchini kutokana na tofauti ya muonekano wake.
Shujaa Magufuli: Nitawaletea Treni ile vijana wa Leo mnaita " Mjusi"
Dish lako limeyumba kidogo JoShujaa Magufuli: Nitawaletea Treni ile vijana wa Leo mnaita " Mjusi"
Ndio Hiyo chedi
Bwa sheee mbona kama ume panic?Dish lako limeyumba kidogo Jo
Hahaha.........!Dish lako limeyumba kidogo Jo