TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

Hela ilishatolewa ya behewa za kisasa kipindi wanaleta vile vichwa wananchi wakapiga kelele wakasingzia contractor wa mwanzo alishindwa kuleta vichwa vyote kwa wakati kwahio tender wameihamishia kwengine. Nilipoona vile nilijua hili ndio lingefuata
 
Aiseee ni bora wasilete kabisa na mradi ufe tutumie mabasi tu ,haiwezekani tuwekeze matrilioni kwenye miundombinu ya SGR halafu watuletee behewa za mkoloni enzi za hitler.
 
Wa kigoma (mbali) mabehewa yenu yamekuja๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Maajabu haya reli ipo morogoro halafu yanaletwa mabehewa ya kwenda kigoma

Reli itafika lini kigoma? Hayo mabehewa yatakuwa na Hali gani mpaka kufika huko..

Duh au Morogoro ni route ndefu?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwahiyo ya safari fupi ndio ya kisasa, ila haya yanayokuja ya safari ndefu ndio ya kubebea mifugo?
 
Maajabu haya reli ipo morogoro halafu yanaletwa mabehewa ya kwenda kigoma

Reli itafika lini kigoma? Hayo mabehewa yatakuwa na Hali gani mpaka kufika huko..

Duh au Morogoro ni route ndefu?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Tena inaishia Kingorwila Jordan University hahahaaa.
 
China ni kubwa sana lakini treni zao zote ni zaki sasa na zina safiri umbali mrefu mfano kutoka dar mpaka Zimbabwe, mbona wao hawaja tumia behewa giza za kizamani
 
baada ya wiki, wabongo watang'oa taa zote izo , watang'oa izo pads nyuma ya siti, watang'oa usb ports zote

wabongo wanachostahili ni mabehewa ya gari moshi

wabongo wamelaaniwa
Hiyo ndiyo changamoto kubwa iliyopo, ndani ya muda mfupi hayatotamanika humo ndani. Wengine watachana hivyo viti kwa nyembe
 
Hawana jipya hawa tayari pumzi imekata, wameona waishie hapo.

Magufuli alikua anatumia uchawi gani kufanya mambo? Mungu amrehemu yule mzee aisee.
Magufuli hasinge nunua mabehewa yaki jinga na yeye anavyo penda vitu vipya lazima angenunua treni yaki sasa tena kwa cash kutoka kiwandani kama ndege za Dreamliner na waswahili wajinga waka walalamika kwanini kanunua ndege kwa kulipa cash badala ya kukopa kwa mali kauli, Tatizo Rais wetu wa sasa katokea Zanzibar na wazanzibari wana penda bidhaa used, Yani wazanzibari vitu vyao ni used kuanzia vyombo vya jikoni, Tv, radio, fridge, magari , mpaka wanawake wanapenda used, tofauti na watu kutoka bara wao wana penda vitu vipya kuanzia nguo, Tv, fridge, redio nk.
 
Mkuu ina maanisha yatakaa store mpaka reli ifike kigoma
 
Yaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.

Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
We jamaa acha ujinga basi...

Unaniondolea stress za taifa hili bhana..
Ha ha ha haaaa
 
Yaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.

Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Yaani nimeona hii taarifa kwa kiingereza nikawa sielewi nimekuja huku nako sielewi,
 
Hapo juu barua ya TRC inasema mabehewa yanatengenezwa ujeruman lkn watayapokea yakitoka korea !!
 
Kipindi kile waliokota vichwa vya Treni bandarini leo wamekuja na sababu mpya kabisa...bora wangeendelea kuokota hata hayo mabehewa hapo bandarini...
 
Yaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom
Mkuu mimi nimeona kwa macho yangu Reli ya SGR ikiwa imefika Kintinku Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida.

Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ