Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Hapo kwenye masaa hawasemi
Masaa mangapi mpaka Moshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masaa mangapi mpaka Moshi?
Kutokea Wapi?Masaa mangapi mpaka Moshi?
Masaa mangapi kutokea wapi? Kuwa specific nduguHapo kwenye masaa hawasemi
So ndio wanayotumia kila sikuUfipa watagoma watawaambia watu wao wapande mabasi[emoji1][emoji1]
Kuna mabehewa yako kama basi lilivyo kwa ndani, yaani wote mnakaa kuangalia mbele au nyuma, mengine mnakaa kwa kuangaliana na kuna yenye vyumba vyenye vitanda(juu na chini), hayo ndio ya kulala.Hapo kwenye kulala sijaelewa ....
kwa hivyo unaweza kununua kiji room kabisa!?
Tutapanda mabasi kwa sababu wamiliki wengi wa mabasi ya huku ni wa nyumbani.Ufipa watagoma watawaambia watu wao wapande mabasi[emoji1][emoji1]
Kwa nauli hiyo suala la muda liweke pembeniItatumia masaa mangapi dar to moshi?
Hater...punk... acha hizo stori; ni nini cha ajabu kilichopo along the railway kwa mazingira ya Tanzania? Zaidi ya makazi duni na vibanda vya ajabu ajabu kuna nini cha kufanya utalii? And by the way, zaidi ya 60% ya railway Dar-Moshi iko parallel na barabara so hakuna kipya maana scene ni ileile ukitumia usafiri wa barabara!
Nilisikia yakuwa safari zao zitakuwa usiku yaani kuondoka ndani ya treni itakuwa ni saa 12 jioni na kuingia Arusha itakuwa asubuhi sana kabla ya kuku hajanyaItatumia masaa mangapi dar to moshi?
Hawa ndio wafadhili wakuu wa chadema.Kina mangi wenye mabasi wakalime sasa
Usafiri wa treni ni utalii...Ila itachukua muda sana kuwachomoa abiria kwenye mabasi kwa mwezi huo wa Desemba,Wamiliki wa kule wa mabasi wataendelea tu kupata abiria ngoja tuone labda serikali wawabane lakini kama watawapa uhuru tutegemee treni kuondoka tupu
Usafiri wa treni ni utalii...
Ili iweje??Hapo kwenye kulala sijaelewa ....
kwa hivyo unaweza kununua kiji room kabisa!?
Wacha fujo ww mgalaga gigi kokoIli iweje??
Kutokea Wapi?