TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

DAR mpaka Moshi kwa treni itakuwa masaa mangapi!?
Nashauri ulinzi wa mara dufu na wa kudumu kwa miundombinu hii. Hatutataka mambo ya kushtukiza!!!
 
Hapo kwenye kulala sijaelewa ....
kwa hivyo unaweza kununua kiji room kabisa!?
Kuna mabehewa yako kama basi lilivyo kwa ndani, yaani wote mnakaa kuangalia mbele au nyuma, mengine mnakaa kwa kuangaliana na kuna yenye vyumba vyenye vitanda(juu na chini), hayo ndio ya kulala.
Naongelea uzoefu wa mabehewa ya enzi za Nyerere, natumaini hayatakuwa na tofauti sana.
 
... acha hizo stori; ni nini cha ajabu kilichopo along the railway kwa mazingira ya Tanzania? Zaidi ya makazi duni na vibanda vya ajabu ajabu kuna nini cha kufanya utalii? And by the way, zaidi ya 60% ya railway Dar-Moshi iko parallel na barabara so hakuna kipya maana scene ni ileile ukitumia usafiri wa barabara!
Hater...punk
 
Kwenye kulala hapo nimeona vitanda vinne inamaana kila kitanda mnalipia au hio bei niyachumba kizima
 
Itatumia masaa mangapi dar to moshi?
Nilisikia yakuwa safari zao zitakuwa usiku yaani kuondoka ndani ya treni itakuwa ni saa 12 jioni na kuingia Arusha itakuwa asubuhi sana kabla ya kuku hajanya
 
Ila itachukua muda sana kuwachomoa abiria kwenye mabasi kwa mwezi huo wa Desemba,Wamiliki wa kule wa mabasi wataendelea tu kupata abiria ngoja tuone labda serikali wawabane lakini kama watawapa uhuru tutegemee treni kuondoka tupu
 
Back
Top Bottom