munisijo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 1,126
- 942
Huna hela wewe. Maswali kibao kama vile una digrii 4
Duh ... haya bwana. Nakushukuru sana mkuu, nakutakia siku njema ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hela wewe. Maswali kibao kama vile una digrii 4
Ndio nakubali, lakini nchi ambazo usafiri wa treni umeshamiri ni kule ambapo kuna treni na reli za kisasa, ambazo ni spidi na rahisi kuliko magari.Kaka usafiri huu utakuwepo muda wote, duniani kote kuna usafiri wa barabara, train, ndege, na majini kutokana na unafuu wa bei, usalama, uharahaka wa kufika, upatikanaji, na utashi wa mtumiaji. Hivyo hata hata hapo kwetu watakaopenda usafiri wa treni, mabasi, ndege, meli, na hata fisi na farasi wapo na watakuwepo.
Hahaa nikatika moja ya mapokezi ya ndege zetu zile zamwanzo mwanzo sasa nazani kuna kiongozi alipiga jungu kua zile ndege hazina speed na hilo jungu likamfikia mkuu so siku hiyo aliamua kumtolea uvivu kwakusema "kama unataka yenye kasi kapande ndege za jeshi" japo hajamtaja ila mkuu alirusha tu jiwe gizani🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 lini hiyo mbona sijawahi kuisikia mangi?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hahaa nikatika moja ya mapokezi ya ndege zetu zile zamwanzo mwanzo sasa nazani kuna kiongozi alipiga jungu kua zile ndege hazina speed na hilo jungu likamfikia mkuu so siku hiyo aliamua kumtolea uvivu kwakusema "kama unataka yenye kasi kapande ndege za jeshi" japo hajamtaja ila mkuu alirusha tu jiwe gizani
Hilo swali la muda ni muhimu. Ili tupange ratiba zetu vizuri. Hakuna suala la kukosoa hapa tunataka tujue muda ili tusijepishana na watakao kuja kutupokea, tafadhali.Mmeanza kupekenyua mtafute points za kukosoa. We kakate tiketi usafiri kama unajali muda kwea Pipa Air Tanzania
Watapata Tabu Sana!!Ufipa hawana jema kwao. Ingependeza treni iondoke jion iingie Moshi Alfajiri. Wenye mabasi watajibeba safari hii
Watanzania wengi wako bado kwenye stage ya quantity (wingi na uchache), hawajafikia level ya quality (ubora). Ni wale wanaotafuta chakula cha kushibisha tumbo tu, ni wale wanaojenga nyumba bila ramani wala mkandarasi, ni wale wanaosomesha watoto wao shule za kata, ni wale wanaokodi nyumba za mitaa ya Tandale, Buguruni, nk. Sina uhakika kama ni watanzania ambao wako tayari kulipa sh. 50,000 kufuata USB kwenye basi na kuacha treni la shi. 15,000 hadi Moshi.Kwa kukusahihisha kwanza nianze na USB na sio UBS!
Swala la kuwepo ama kutokuwepo liko based kwenye ushindani zaidi.
Ukiangalia BM Coach, Marangu Coach, Dar Lux hawa ndio leading brands wenye premium trim ya mabasi kwa njia hio. Sasa unapotaka kuwahamisha watu lazma uwape sababu kwanini wahamie kwako.
Ni ngumu sana kumuhamisha mtu ati kisa umemjengea nyumba mpya ambayo kimsingi ina hadhi ya chini kuliko ile alieko nayo sasa kwa facilities na kila kitu. Kwa mfano, umtoe mtu Upanga umpeleke kwenye nyumba ya room mbili porini chanika au vikindu bila kumpa sababu za msingi au ushawishi. Lazma umshawishi na aone faida ya kuhamia Chanika against Upanga, kibiashara huwa iko hivyo. Cost ya nauli iko chini ni sawa ila je, nini faida ya ku compromise speed na comfort ya basi lenye nauli kubwa against treni yenye bei nafuu? Hio ni Logic thinking!
Ni kichaa pekee ambaye atakubali kuhama katika mazingira kama hayo, isitoshe ni biashara. Sasa hili lina uhusiano wa moja kwa moja na hao mabwana Reli.
Wakati kuhusu uwezo wa kusafirisha abiria, amesema itategemea na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra)
Mchaga sio Muha, wajipange kwa kweli.hii sio reli ya kati ya kubeba wachunga ngombeWasipoweka USB na A/C itakula kwao! Haiwezekani nikajipepee kwa gazeti wakati nikiongeza elfu 10 kwenye hio nauli napanda chombo full A/C na kuchaji simu yangu bila wasiwasi.
Waboreshe kwanza Cabin za mabehewa ziwe comfortable. Watu wa wiring wamejaa VETA. Wawatumie hao kufanya interior designing za infotainment systems, upholstlery n.k ili ku keep pace na mabasi ya mkoani.
Wakiendeleza uzembe wa siti ngumu kama vigoda na uchafu ndani ya cabin anguko lao halitachukua muda.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mchaga sio Muha, wajipange kwa kweli.hii sio reli ya kati ya kubeba wachunga ngombe
sisi wengine treni tunaziona tu. pengine mpango wa kupanda tunao, ndiyo tuna-weigh options. kuuliza swali kama nililouliza ni sababu nataka majibu yenye uelekeo wa uhakika, hivyo si kila kitu ni kujiongeza. mengine yanaulizwa yakitaka majibu yenye usahihi.Sio kila swali linastahili majibu ya moja kwa moja. Hii reli ya kwenda Moshi ni ile ya kizamani sana, hivyo hutegemei speed yake iwe sawa na basi. Kwa vyovyote vile basi litakwenda haraka kuliko treni ya aina hii. Piga hesabu mwenye speed ya 30-40KM/h safari itakuwa ya masaa mangapi? lazima ujiongeze mkuu. Uzuri wake nyiani haitakutana na matuta wala tochi za barabarani wala foleni za mjini.
Tiketi zinakatwa online au mpaka mtu aje ofisini kwenu?MAPUMZIKO YA MWISHO WA MWAKA KWA WOTE WANAOKWENDA TANGA, MOSHI NA ARUSHA MAMBO YAMEDAMSHI.....USAFIRI WA TRENI NI SALAMA NA NAFUU. AWAMU YA TANO KAZINI. UMATI UBUNGO BYE BYE #T2020JPMView attachment 1268561
Maskini wenye kumiliki mabus. Wengi wamekopa Benki kununua Mabus na mwisho wa mwaka ndo msimu wao. Kila kitu kina mwisho.
Ulikuwa umepitiliza kulala ndio umeamka leo[emoji134][emoji848]Mapumziko ya mwisho wa mwaka kwa wote wanaokwenda Tanga, Moshi na Arusha mambo yamedamshi.
Usafiri wa treni ni salama na nafuu. Awamu ya tano kazini. Umati Ubungo bye bye.
#T2020JPM
View attachment 1268561
Nini kfanyikeMaskini wenye kumiliki mabus. Wengi wamekopa Benki kununua Mabus na mwisho wa mwaka ndo msimu wao. Kila kitu kina mwisho.