TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete

TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete

Walisema umeme ukikatika Kuna Kuna umeme wa ziada hii nchi ni hovyo sana 😂😁😁

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete ambayo imesababisha Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa inafanya safari zake kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili (2) Julai 30.2024
View attachment 3057279
Bundi na ngedere wahusika 😂😂😂😂😂

View: https://www.instagram.com/p/C-Eyv2OKi6I/?igsh=cnFjbTVhbXU0YTZ6
 
Walisema umeme ukikatika Kuna Kuna umeme wa ziada hii nchi ni hovyo sana 😂😁😁

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete ambayo imesababisha Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa inafanya safari zake kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili (2) Julai 30.2024
View attachment 3057279
Shida sio umeme Bali nyaya
 
Kumekucha!
Wameisha anza hujuma zao. Wanafikiri watanzania hawana akili na hawakumbuki kauli zao wanazoziongea mbele ya waandishi wa habari.

Tuliambiwa tren zetu zina mifumo miwili,
1) umeme
2) mafuta
Ukikatika umeme injini inapiga kazi kwa mafuta.

Na walisema haitakuja kutokea umeme ukakosekana kwenye tren hiyo. Ukikosekana maana yake inchi nzima iko gizani.

Sasa tunawauliza kwa nini wasitumie diesel baada ya umeme kukatwa?
Na je wamewalipa fidia abiria kwa hasara waliyoipata?

Hawa wanahujumu mradi kwa makusudi.
Acha tu ndugu yangu hii Tanzania hii
 
Nilijua tu, siasa kwenye mradi kama huu ni nyingi mno. Mtu 1 anasifiwa sana na kuonekana bila yeye huu mradi usingewezekana kama vile wengine hawajui kufikiri.

Anyway tujipe muda bado mradi wa bwawa la Nyerere tuliambiwa kuwa umeme ni wa uhakika hadi tutauza nje.

Ccm ni shida mno Tanzania hii ngedere na bundi wanasingiziwa tu.
 
Back
Top Bottom