Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendokasi umewashinda itakuwa mradi mkubwa Kama huo.Seme hii nchi yaan mradi hata mwez hauna dah
Mradi mzur vile kwel unaanza kupata kasoro 😂😁😁
Sasa hapo unahesabu umependa tren ya mwendo kasi?
Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili (2) siku ya tarehe 30 Julai 2024.
Pia soma: Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme
Taarifa za awali zinaonesha kuwa hitilafu za aina hiyo husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system). Hitilafu ilisababisha umeme kukatika kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) ambayo kitaalamu hujulikana kama (Instanteneous Overcurrent Protection Trip) majira ya saa 4:20 usiku.
Mafundi wa TRC walifanikiwa kutatua changamoto na kurejesha umeme saa 6:30 usiku na treni kuendelea na safari kuelekea Dodoma, na kuwasili Dodoma majira ya saa 7:57 usiku.
Shirika la Reli Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Jamila Mbarouk
MKUU WA KITENGO CHA UHUSIANO
Tayari ngoma imeanza

Tayari ngoma imea

Wanazisingizia ngedere sababu wanajua haziwezi kujieleza

Nakumbuka kauli hii sio tu Diesel walisema ina power back up.Kumekucha!
Wameisha anza hujuma zao. Wanafikiri watanzania hawana akili na hawakumbuki kauli zao wanazoziongea mbele ya waandishi wa habari.
Tuliambiwa tren zetu zina mifumo miwili,
1) umeme
2) mafuta
Ukikatika umeme injini inapiga kazi kwa mafuta.
Na walisema haitakuja kutokea umeme ukakosekana kwenye tren hiyo. Ukikosekana maana yake inchi nzima iko gizani.
Sasa tunawauliza kwa nini wasitumie diesel baada ya umeme kukatwa?
Na je wamewalipa fidia abiria kwa hasara waliyoipata?
Hawa wanahujumu mradi kwa makusudi.
Anaesifiwa sana na ambae ni injinia siamefariki au?Nilijua tu, siasa kwenye mradi kama huu ni nyingi mno. Mtu 1 anasifiwa sana na kuonekana bila yeye huu mradi usingewezekana kama vile wengine hawajui kufikiri.
Anyway tujipe muda bado mradi wa bwawa la Nyerere tuliambiwa kuwa umeme ni wa uhakika hadi tutauza nje.
Ccm ni shida mno Tanzania hii ngedere na bundi wanasingiziwa tu.
Shida ni kwamba wanashidwa kufanya uchunguzi wa kina kujua nini kinatokea, kitu kama hichi kikitokea kama china au India muhusika anashughulikiwa kweli kweliHii nchi sijui nikipi kitakuja kifanyike kwa unyoofu pasipo kutokea visingizio wallah....
Angekuwepo John, hapo lazima kuna mtu angewajibika qudadadeqi....☹️
Wamepata suluhisho la kudumu au tutegemee kuombwa radhi tu?
Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili (2) siku ya tarehe 30 Julai 2024.
Pia soma: Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme
Taarifa za awali zinaonesha kuwa hitilafu za aina hiyo husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system). Hitilafu ilisababisha umeme kukatika kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) ambayo kitaalamu hujulikana kama (Instanteneous Overcurrent Protection Trip) majira ya saa 4:20 usiku.
Mafundi wa TRC walifanikiwa kutatua changamoto na kurejesha umeme saa 6:30 usiku na treni kuendelea na safari kuelekea Dodoma, na kuwasili Dodoma majira ya saa 7:57 usiku.
Shirika la Reli Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Jamila Mbarouk
MKUU WA KITENGO CHA UHUSIANO
Kwani si walisema train yenyewe, moja ya mabehewa ina power backup system?
Vijana wapewe ajira ya kulinda Ngedere na Bundi kwenye nyaya au sio?Ulinzi uimarishwe kwenye hii miundombinu ya kimkakati
Wangekuwa wanaongea wange kana labda😂😂Bundi na ngedere.!