TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete

Bundi na ngedere wahusika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://www.instagram.com/p/C-Eyv2OKi6I/?igsh=cnFjbTVhbXU0YTZ6
 
Shida sio umeme Bali nyaya
 
Acha tu ndugu yangu hii Tanzania hii
 
Nilijua tu, siasa kwenye mradi kama huu ni nyingi mno. Mtu 1 anasifiwa sana na kuonekana bila yeye huu mradi usingewezekana kama vile wengine hawajui kufikiri.

Anyway tujipe muda bado mradi wa bwawa la Nyerere tuliambiwa kuwa umeme ni wa uhakika hadi tutauza nje.

Ccm ni shida mno Tanzania hii ngedere na bundi wanasingiziwa tu.
 
Kwani si walisema train yenye, moja ya mabehewa ina power backup system?
Kabisa, waongeze range ya hizo backup, treni iweze kwenda mpaka Dar kwa kutumia backup tu. Au waweke vichwa vya hybrid, vinavyotumia mafuta na umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…