TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete

Huo waweza kuwa ndiyo ujinga na uzembe wenyewe.
Wangeweza vipi kuindoa hapo wakati haitumii mafuta?
Mjinga na mzembe yupi, aliyedanganya umma kuwa zinauwezo wa kutumia umeme na mafuta?

Sijui huyo mama kesho atazindua ipi?
Inayoogopa Bundi na Ngedele au kama ipo tuliyoambiwa!
 
Ile mfumo wa treni kufua umeme/kuhifadhi umeme imekuaje tena?
 
Kwa hiyo fungu maalum litatengwa ili kutumika kuwaangamiza bundi na ngedere?
 
Habari ndugu zangu
 

Attachments

  • FB_IMG_1722491739748.jpg
    48 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1722492281277.jpg
    55 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…