Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza!

Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza!

Nashukuru umeona ya Paschal Njaa(kali) na kuitwa kule bungeni naona akili zimeisha sasa anaendeshwa kwa uoga. Siku paschal ukipotea sisi hatutakukumbuka maana u mnafiki wewe. Eti wanaiandika vibaya tz pinga ni wapi wanasema vibaya na kupotosha.

Serikali hii ilituambia viwanda mbona hatuoni vinavyowekewa mawe ya msingi na kuzinduliwa sasa mmebaki na siasa rahisi kama tissue
Ukabila ni jambo baya sana. Unakuwa kipofu kabisa halafu very bias na wala haoni wala kuambiwa. Yeye lolote lile anahisi ni baya kwasababu ni mtu wa kwao. Ni bora kabila lake kuliko taifa. Bad.
 
Maadui zetu ndo huwatumia hizo habari, hayo ya Majanga kama tetemeko, Meli kuzama huwa wanaowatumia habari hawatumi kwa maana hayachafui jina la nchi yetu kiiivyo kwani ni ajali ila kwenye hili la kutekwa/kujiteka ma-architect wenyewe wa mchezo mzima ndo hufanya hivyo, hutuma habari huko.

Kwa mfano utaona hili la Dewji tayari wameshaanza kuingiza mambo ya investors sijui kupoteza confindence na nchi yetu, kwa nini investors hawakupoteza hiyo confidence wakati watu wetu wanapigwa Risasi Kibiti tena huko ndiko Gesi iliko?, ina maana kuna mchezo mchafu dhidi ya nchi yetu, na wahusika tunao hapa hapa nchini, na wengi wao ukiwaangalia machoni sura zao utawajua hawana raha kabisa, unaona evil spirit kwenye nyuso zao, wee jaribu kuwaangalia vizuri utaona, wengine hata hata wana betray marafiki zao na kuwazunguka, evil people!

Kwanini mnatetea sana?Mko upande wa watekaji?Maana mnataka watu watekwe,media zikae kimya!
 
Kwanini mnatetea sana?Mko upande wa watekaji?Maana mnataka watu watekwe,media zikae kimya!
Bora umenotice, kuchangia 3.5% ya GDP as per Wikipedia, sio mchezo, plus holding ajira ya above 25,000 people who have many dependants and issues to solve, monthly, heey, this man has to saved , prayed for and all good wishes
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, sasa nasubiri kuwaona wataripoti nini kuhusu kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali

Ipo njiani yaja.

Kuna jamaa wapo humu, ndo wanamaliziamalizia kufanya uhariri na watatuma barua pepe.

Naona Reuters nao wanamuuliza kijana wetu Ngw'anakilala vipi mboya amekaa kimya?
 
Ukabila ni jambo baya sana. Unakuwa kipofu kabisa halafu very bias na wala haoni wala kuambiwa. Yeye lolote lile anahisi ni baya kwasababu ni mtu wa kwao. Ni bora kabila lake kuliko taifa. Bad.

Hata mimi naona na kuna kile kipindi chake kinaitwa PPR(sidhani kama nimekosea) alikuwa anaonyesha ukabila halisi. Ngoja nimnukuu,"... nitaenda kule kijijini kwetu kwa wasukuma wenzangu niwahamasishe kuje kuchukua cheti cha kuzaliwa". Kauli hiy ilitolewa na huyu Njaa nikashangaa. Sijui kuwa msukuma ni sifa! yaani namshangaa sana sijui kule bungeni walimueleza nini.

Nadhani sas atuambie nini aliambiwa maana sio akili yake na hizo declaration eti yeye ni nyutro stupid angry man
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, sasa nasubiri kuwaona wataripoti nini kuhusu kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
nadhani wamiliki wa jarida hilo hawatofautiani sana na wafuatao:

1. wanaowavunjia nyumba wasiowachagua na kinyume chake

2. wanaowatia ndani kina Rugemarila na kuwapa vyeo kina Mnyeti kwa kosa linalofanana

3. wanaowatia msukosuko wa kodi kina Bakhresa kwa tuhuma feki za kodi ya makontena huku wakiwaachia kina Bashite wenye tuhuma za wazi za makontena wakipeta na kuendelea kula kodi zetu

4. wanaotumia 1.5tr bila maelezo lakini ni wepesi kuwashughulikia wa tumilioni mia.

5. endeleza hii orodha mkuu Paskali - unajua ninakoelekea am sure.
 
Binafs nashukuru kama hawakuandika habari za MV Nyerere maana huko ndiko kulikuwa na uzembe wa hali ya juu na hakuna yeyote wa ngazi ya juu alojiuzulu kwa sababu ya tukio lile!

Kuhusu kibiti ni bora walivyokaa kimya! Maana mpka leo kibiti bado ni kitendawili kisicho na jibu la nani hasa alikuwa nyuma yake!

Waache waandike ya Mo maana ni muujiza mkubwa sana kuwahi kutokea hapa kwetu
Kwanza wamehusishwa wazungu huenda hii ikawa sababu ya wao kuandika
Pili wao ndo walotuletea makamera yao! Ndo waone kuwa huku kwetu hayafanyi kazi na hayawezi hata kuonesha robo tu ya tukio husika so warejee tena maabara wakavumbue mapya!

Waache waandike ili siku Mo akipatikana wajue kuwa na sisi sio wa kispoti spoti! Waanze kutuangalia kwa jicho la 3
 
Paskali;
Tangu siku yako ya kwanza kukutana naye uliingiza au kuingia kwa "mguu mbaya" hivyo ulipoteza sifa kwake. Alikujua kama mwenye "njaa" hivyo hata ujikombe vipi, hupati kitu.
Iwe Trend isiwe trend. Yaliyofanyika kwetu si mazuri. Wenye kuhusika na kutupoozesha hofu wanatenda ndivyo sivyo. Nadhani weye waambie tu kuwa, Ruhusuni wenye uwezo waingize nyayo zao ili tuwe safi. Kumwambia mzoefu wa mambo, Hapa nifanyeje hebu njoo nisaidie sio woga au ujinga bali ndo maendeleo. Utajifunza kwake. Kwa nini usiweke sheria kuwa,Chochote unachoona uwe kipofu kwa mwengine ila niambie mimi nami nitangaze kuwa Nimepata hai?
Acha njaa Paskali
 
Tetemeko na kuzama kivuko havihusiani na LISSU kupigwa risasi na utekaji/mauaji ya watu..
Wao wanatarget matukio yanayohusiana na siasa
 
Paskali;
Tangu siku yako ya kwanza kukutana naye uliingiza au kuingia kwa "mguu mbaya" hivyo ulipoteza sifa kwake. Alikujua kama mwenye "njaa" hivyo hata ujikombe vipi, hupati kitu.
Iwe Trend isiwe trend. Yaliyofanyika kwetu si mazuri. Wenye kuhusika na kutupoozesha hofu wanatenda ndivyo sivyo. Nadhani weye waambie tu kuwa, Ruhusuni wenye uwezo waingize nyayo zao ili tuwe safi. Kumwambia mzoefu wa mambo, Hapa nifanyeje hebu njoo nisaidie sio woga au ujinga bali ndo maendeleo. Utajifunza kwake. Kwa nini usiweke sheria kuwa,Chochote unachoona uwe kipofu kwa mwengine ila niambie mimi nami nitangaze kuwa Nimepata hai?
Acha njaa Paskali
Paskali andika. This is not for nothing. Fungu lako lipo. Andika. Andika usikome wala kuvunjwa moyo.
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.

Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums

Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums
Kwa vyovyote watakavyoandika, mimi sichukii kuandikwa mabaya. Mabaya yakiandikwa yanatusaidia pia kama yale mazuri. tuache utoto, tukomae. kuandikwa vibaya ni changamoto kwetu. na kwa kuwa watawala wetu wametuzuia sisi wa ndani kukosoa, basi ni vema sana kazi hiyo ikifanywa na wengine pia, kusaidia kuweka msisitizo
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, sasa nasubiri kuwaona wataripoti nini kuhusu kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Mayalla isijekuwa wewe ni muakilishi wa hicho kijarida !!. Vinginevyo unaanza uganga wa kienyeji [emoji23] [emoji12]

Pascal vitendo hivi vilaaniwe na kila mwenye akili. Nikuulizee
Je Tarime bila zile risasi ungejua kuwa ule utekaji ulikuwa na mibaraka ya taifa ?!. Nasema hivo kwa sababu, hapa kwetu wanaamini taifa ni serikali. Haya mambo Pascal ni rahisi kuanzisha hivi vikundi lakini ni vigumu Kuvidhibiti. Baada ya hapo taifa letu litakuwa failure state katika swala zima la usalama
 
Back
Top Bottom