Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Mkuu paskali naomba cheki pm yangu
Kuna uzi wake huko umemdodea usimlaumu sana, ameshindwa kuu-rescue!ukipenda kutanua mdomo kabla ujashirikisha ubongo ni mbaya sana
ulimwengu wa kistaarabu hauna uadui na media
Mkuu pascal sijui hivi sasa umekuwaje?Baada ya Mo kupatikana, baada ya juhudi kubwa za jeshi letu la polisi, haswa Ile press conference ya jana, sijui kama hawa jamaa zangu wataandika kitu.
Hata hivyo kwa vile familia iliishatenga billion moja kwa atayefanikisha kupatikana kwa Mo, na waliofanikisha ni IGP Kamanda Sirro, kwa ile Press Conference muhimu ya jana. Hizo pesa apewe Sirro na vijana wake, zitumike kuboresha jeshi letu la polisi nchini.
Mungu Mkubwa, Pesa ndio kila kitu!, Masikini Ben Saanane, Azori Gwanda.
P.
Mkuu pascal sijui hivi sasa umekuwaje?
Inamaana wewe unaamini hiyo press kweli ndio imefanikisha yeyey kupatikana..?!
Basi kama ndiyo hivyo unaamini ujue kuwa ni dhahiri uwezo wako kiakili umepungua sana!
Huyu mdau hapa alisema kamanda ataita media ijumaa asubuhi na kuna mechanism inatapangwa ya namna ya kumuachia, sasa hebu pitia hapa hapa kama usipofuta ulichoandika na kujiona juha...
Revealed: Authorities in Tanzania want kidnapped billionaire's wealth - Sauti Kubwa
Mimi naamini ni Press Conference muhimu ya Sirro, ndio imefanikisha kupatikana kwake bila masharti yoyote, kwa sababu watekaji, wametishika wakamuachia.Mkuu pascal sijui hivi sasa umekuwaje?
Inamaana wewe unaamini hiyo press kweli ndio imefanikisha yeyey kupatikana..?!
Basi kama ndiyo hivyo unaamini ujue kuwa ni dhahiri uwezo wako kiakili umepungua sana!
Huyu mdau hapa alisema kamanda ataita media ijumaa asubuhi na kuna mechanism inatapangwa ya namna ya kumuachia, sasa hebu pitia hapa hapa kama usipofuta ulichoandika na kujiona juha...
Revealed: Authorities in Tanzania want kidnapped billionaire's wealth - Sauti Kubwa
Nimekuelewa Roman, Paschal anahofia jamaa yake Jiwe kuanza kusakamwa na jamii ya Kimataifa hivyo anatamani vyombo vya habari vya Nje ya Nchi visiandike yanayojiri hapa nchiniWangeandika na habari za MV Nyerere si ndiyo ungelalamika zaidi? Maana ule si ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu vilevile?
Kimsingi naona unaanza kujiandaa kumtetea jamaa yako. Lazima waandike kuhusu kutekwa kwa Mo zaidi kwasababu inawahusu mataifa ya nje zaidi na pia kwasababu ya uwekezaji nk. Pia jamaa yule ni influential na anazo connections pembe zote za dunia. Naona umeshaanza kumuonea huruma msukuma mwenzako.
Mkuu pascal sijui hivi sasa umekuwaje?
Inamaana wewe unaamini hiyo press kweli ndio imefanikisha yeyey kupatikana..?!
Basi kama ndiyo hivyo unaamini ujue kuwa ni dhahiri uwezo wako kiakili umepungua sana!
Huyu mdau hapa alisema kamanda ataita media ijumaa asubuhi na kuna mechanism inatapangwa ya namna ya kumuachia, sasa hebu pitia hapa hapa kama usipofuta ulichoandika na kujiona juha...
Revealed: Authorities in Tanzania want kidnapped billionaire's wealth - Sauti Kubwa
Kama hiki ndicho kilichotokea, kuna mtu atasema?.Wanabodi,
Kwa vile Tanzania hatuna matukio ya utekaji wa ransom, usikute jeshi letu la polisi hawana abche mambo haya, na kwa vile niliwahi kushauri humu, tusisubiri tushindwe ndipo tuzomee, ukiweza kusaidia saidia tuu, hivyo hapa nalisaidia jeshi letu la polisi, kwa vile ni kawaida kwa mabilionea kutekwa kwa ransom, hivyo natoa wito kwa jeshi letu la polisi, kama kweli wako serious, kufanya secret monitoring his forex accounts, kupitia kitengo cha FIU kilichopo BOT, ku monitor kila kutu wakiona massive withdrawal of bulky cash, wafanye trails secretly zinapelekwa wapi, pia wawafanyie surveillance, ndugu wote wa karibu, kuanzia kwake, kwa baba yake na ndugu wote haswa Azim Dewji ndie likely the negotiator!, wataona tuu movements, usually usiku wa manane, watawapata watekaji, vinginevyo tutaishia kusikia, Mo, amepatikana ufukwe wa Coco Beach, huku hajitambui na hakumbuki chochote, na hadithi itaishia hapo, kumbe ransom imelipwa!
Wadau, Nimekuwa nikisikia mara kwa mara Polisi wetu wkisema kwa msisitizo kwamba tumekamata Silaha ya Kivita wakiwa wanaongelea AK47 Gun, na hivi juzi tumesikia hayo kwa MO saga, Hivi Jeshi letu la Polisi wanazo silaha kama hizi ?, au nao kama sisi huwa wanaziona kwa majambazi ?, kwa sababu naona huwa zinatolewa kauli zinazoonesha kwamba na wao Polisi wetu wanazigwaya sana silaha hizo ambazo nasikia ni Hatari sana, nakumbuka pale mjin daresalaam askari Polisi aliwahi kukimbia baada ya majambazi kuvamia benki moja na tukaambiwa alilazimika kujiokoa kwa sababu majambazi walikuwa na silaha ya kivita yaani AK47Kama hiki ndicho kilichotokea, kuna mtu atasema?.
P.
Hivi jamani Paschal aliwahi kuitwa Bungeni kuhojiwa ?, ilikuwa issue gani ?, mimi sikusikiaTunamtaka yule Pascal wetu, yule wa Mayala ni njaa kwa kisukuma, yule alokuwa akitoa hoja inakuja na uzito wake halisi sio kwa watawala wala wapinzani!
Pascal aloitwa Dom bungeni kujieleza!
Yuko wapi Paskali yule?
Paschal, Umeandika vitu vyenye akili sana.....Mungu akubariki sana.Wanabodi,
Declaration of Interest
Siungi mkono vitendo vyovyote vya uhalifu wa aina yoyote, hivyo naungana na familia yake, Watanzania na wote walioguswa na tukio hili, kuombea Mo, apatikane akiwa bukheri wa afya, na wahusika watiwe nguvuni, sheria ichukue mkondo wake, ila pia najikita zaidi katika human value, life value, binadamu wote ni sawa, bila kujali hali zao za kiuchumi au status zao katika jamii.
Sotet tumeshuhudia Ben Saanane akitoweka, tumeshuhudia Azory Gwanda akitekwa, lakini hatukuwahi kushuhudia juhudi kubwa za kiwango hiki katika kuwatafuta, thamani ya life ya Ben Saanane, Azory Gwanda na wengine wote waliopotea kwa kutekwa, is the same as Mo, hivyo tuunge mkono juhudi zote za kumtafuta Mo, ila pia tuache double standards, watu wenye hadhi fulani, ndio wanatafutwa kwa bidii, wengine....kwa hapa nashauri tufuate maneno ya nguli wa muziki, Marijan Rajab, Jabali la Muziki, aliyeimba kiitikio " Mtu muone kama mtu sio mpaka awe na kitu".
Kwa vile Tanzania hatuna matukio ya utekaji wa ransom, usikute jeshi letu la polisi hawana abche mambo haya, na kwa vile niliwahi kushauri humu, tusisubiri tushindwe ndipo tuzomee, ukiweza kusaidia saidia tuu, hivyo hapa nalisaidia jeshi letu la polisi, kwa vile ni kawaida kwa mabilionea kutekwa kwa ransom, hivyo natoa wito kwa jeshi letu la polisi, kama kweli wako serious, kufanya secret monitoring his forex accounts, kupitia kitengo cha FIU kilichopo BOT, ku monitor kila kutu wakiona massive withdrawal of bulky cash, wafanye trails secretly zinapelekwa wapi, pia wawafanyie surveillance, ndugu wote wa karibu, kuanzia kwake, kwa baba yake na ndugu wote haswa Azim Dewji ndie likely the negotiator!, wataona tuu movements, usually usiku wa manane, watawapata watekaji, vinginevyo tutaishia kusikia, Mo, amepatikana ufukwe wa Coco Beach, huku hajitambui na hakumbuki chochote, na hadithi itaishia hapo, kumbe ransom imelipwa.
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.
Nikimaliza kaji research haka, pia nitafanya kaji reseach kangine kadogo, kuhusu mwitikio wa serikali, media na jamii kuhusu kutekwa kwa watu mbalimbali, kwa nini wengine wanahangaikiwa, na wengine ni kama walipuuzwa fulani?.
Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.
Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.
Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu kutekwa kwa Mo.
Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.
Nawatakia subiria njema
Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums
Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!. - JamiiForums