Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza!

Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza!

Paskali nimekusoma,kwa jicho langu la 3 nimeona unazungumzia mabwanyenye ya nchi ya kusadika ambao matukio yote hayo wanawapiga beat wananchi wa kusadikika wasijadili lolote ila ili la kutekwa MO trends inaonyesha kila mtu anapiga mayowe wanamtaka MO na inaonekana hata mabwanyenye wakipiga beat watu wasilizungumzie swala la mo itakuwa kama kutwanga maji kwenye kinu.
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.

Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums

Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!. - JamiiForums
Utakuwa useful ukitutajia jamaa yako anaiaga dunia hii lini!

We really tired of him!
 
Paskali; Hawa ndo maadui zako. Wanakudanganya ati; This is not for nothing. Ndo nini hiyo?? Yaani wanadhani utamgusa mtu kwa trend hizi?? Pole sana ila unikumbuke kwenye huo ufalme wako ukikumbukwa usijekuwa ka yule mnyweshaji wa mfalme alivyomsahau Danieli
ulimwengu wa kistaarabu hauna uadui na media
 
Nachokiona kwa bavicha wengi kama sio toka kanda ile basi ni wale wasioivana kabisa na watu wa kanda ile.Kinachowatesa bavicha ni UBINAFSI. Ni watu wanaotaka waandikwe mazuri tu,ni watu wanaopenda watu wa kanda ile waandikwe vibaya tu.Ukifanya hivi utakua unajitambua, una akili na ni mtetezi wa wanyonge. Pasco sijaona Threads zake akikosoa mabaya ya chadema moja kwa moja au kuhoji jambo lolote kuhusu chadema. Threads nyingi za Pasco ni kuichallenge serikali, kitendo hiki bavicha ndio wanaita kujitambua. Juzi Pasco kuhoji habari za lisu tu imekuwa kosa. Huu ni udikteta wa FIKRA na ni udikteta mbaya sana kuliko wwt ule duniani,ni kitu kibaya sana kumlazimisha mtu afikiri kitu flani.Huwa najiuliza sana HUKO CHADEMA wanaishi malaika kiasi huruhusiwi kuhoji?Ni hatar sana kama taifa zima kila mtu atafikir sawa na mwenzie. TUJIFUNZE KUVUMILIA KUSIKIA TUSICHOPENDA KUSIKIA na hii ndio Democracy yenyewe ktk kuheshimu MAWAZO YA MTU.
 
There's a natural mystic blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet, might as well be the last
Many more will have to suffer
Many more will have to die - don't ask me why
 
Paskali ni mwanachama wa chama cha watu wasiojulikana (teass) ndo maana "nyepesi " kama hizi hazimpiti.
 
Wanabodi,

Declaration of Interest
Siungi mkono vitendo vyovyote vya uhalifu wa aina yoyote, hivyo naungana na familia yake, Watanzania na wote walioguswa na tukio hili, kuombea Mo, apatikane akiwa bukheri wa afya, na wahusika watiwe nguvuni, sheria ichukue mkondo wake, ila pia najikita zaidi katika human value, life value, binadamu wote ni sawa, bila kujali hali zao za kiuchumi au status zao katika jamii, tumeshuhudia Ben Saanane akitoweka, tumeshuhudia Azory Gwanda akitekwa, lakini hatukuwahi kushuhudia juhudi kubwa za kiwango hiki, thamani ya life ya Ben Saanane, Azory Gwanda na wengine wote waliopotea kwa kutekwa, is the same as Mo, hivyo tuunge mkono juhudi zote za kumtafuta Mo, ila pia tuache double standards, watu wenye hadhi fulani, ndio wanatafutwa kwa bidii, wengine....kwa hapa nashauri tufuate maneno ya nguli wa muziki, Marijan Rajab, Jabali la Muziki, aliyeimba kiitikio " Mtu muone kama mtu sio mpaka awe na kitu".

Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.

Nikimaliza kaji research haka, pia nitafanya kaji reseach kangine kadogo, kuhusu mwitikio wa serikali, media na jamii kuhusu kutekwa kwa watu mbalimbali, kwa nini wengine wanahangaikiwa, na wengine ni kama walipuuzwa fulani?.

Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu kutekwa kwa Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums

Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!. - JamiiForums
mkuu nakushukuuru kwakutushusha presha kidogo japo bado tunasubiri bandiko lako juu ya hili swala.
 
Back
Top Bottom