Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza!

Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza!

Kaka pascal, kwahili la kupotea na kuumizwa ndugu zetu acha waripoti watakavyoona ina faa, ila ukweli ule msemo wa hasara roho utabaki palepale na wanaopata sononeko kubwa ni wazazi wa hao walio potea na kuumizwa na hao wanaojulikana ambao hawajulikani. Hebu jiweke kwenye nafasi ya mzazi wa Azory au Lissu au Mo yaani huzuni utakayo kuwa nayo itakuzonga mpaka mauti. Why we are doing this to our own brothers and sisters
Inamaana vyombo vya ulinzi vimeshindwa kutulinda raia wake?
 
Paskali andika. This is not for nothing. Fungu lako lipo. Andika. Andika usikome wala kuvunjwa moyo.

Paskali; Hawa ndo maadui zako. Wanakudanganya ati; This is not for nothing. Ndo nini hiyo?? Yaani wanadhani utamgusa mtu kwa trend hizi?? Pole sana ila unikumbuke kwenye huo ufalme wako ukikumbukwa usijekuwa ka yule mnyweshaji wa mfalme alivyomsahau Danieli
 
nadhani wamiliki wa jarida hilo hawatofautiani sana na wafuatao:

1. wanaowavunjia nyumba wasiowachagua na kinyume chake

2. wanaowatia ndani kina Rugemarila na kuwapa vyeo kina Mnyeti kwa kosa linalofanana

3. wanaowatia msukosuko wa kodi kina Bakhresa kwa tuhuma feki za kodi ya makontena huku wakiwaachia kina Bashite wenye tuhuma za wazi za makontena wakipeta na kuendelea kula kodi zetu

4. wanaotumia 1.5tr bila maelezo lakini ni wepesi kuwashughulikia wa tumilioni mia.

5. endeleza hii orodha mkuu Paskali - unajua ninakoelekea am sure.
Hawezi kukujibu hapa!!
"Double standard"
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.

Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums

Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums
I think mfanyabiashara na biashara ni more relevant or associated na hilo Jarida hence ni more likely habari hiyo kuripotiwa.
 
Yuko upande huohuo wa kina Lugola na serikali. Huyu jamaa bhana! Hajaongea chochote kuhusiana na kutekwa kwa Mo Dewji, lakini anaanza kuogopa habari hiyo ya kutekwa kwake, kuandikwa na vyombo vya kimataifa. Hapo ndo unajionyesha wazi kabisa upande uliko. Uko upande mbaya sana ni unafiki tu mkuu wala haisadii. Andika makala zenye kutoa rai ya kupatikana kwa Mo, na siyo unaanza kujiandaa kuwakingia kifua kama wakisemwa. Ujuwe serikali ndo iko responsible na kama ikiendelea kunyamaza kutakuwepo na "a big price to pay"
 
Back
Top Bottom