Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma.

Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi treni ya abiria iliondoka katika stesheni ya Kigoma Mjini, eneo la Kibirizi mabehewa matatu ya nyuma yaliacha njia na kuelekea eneo la Ardhi.
 
Mataruma yanaonekana hayana kokoto, uzembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…