Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

Kama vile ulivyotaka dpw ichukue bandari,kinachofuata ni serikali tukabidhi wageni waiendeshe.
Aah waendelee tu wenyeji kuendesha, tatizo nini kwani?

Wanafanya vizuri sana miaka yote, au siyo?
 
Treni inapita kwenye Vumbi kupata ajali ni rahisi sana sioni kama hao TRC wana ukaguzi wowote nilipita na gari maeneo fulani huko Tabora nikapita juu ya Reli yao aisee ni kama nimepita kwenye vumbi tuu nikashangaa sana yaani reli haipo kwenye tuta ni kama bara bara ya ng'ombe tu wana utani sana hao jamaa..waige ujenzi wa Tuta la TAZARA wapunguze ajali..
 
Mtumeeee...🙆‍♂️
R.i.P Classmates...😥
 
Watanzania hatuwezi kufanya chochote bila kusimamiwa na watu wa nje.

Utumwa upo ndani ya damu ya Watanzania.

Huku kutoweza chochote kunaanzia wapi na kuishia wapi?

Hudhani wewe na hata Samia nanyi hili linawahusu kama ilivyo kumbe kwa wengine?
 
Back
Top Bottom