Treni ya kwanza ya SGR yakamilisha jaribio la safari kwa masaa 6

Safi sana bro, hebu tupiamo ile picha ya gari ya moshi ya wenzetu ambayo hutumia kuni!, miti imeisha miombo woodlands huko tz,itanipa faraja sana jioni hii[emoji2] [emoji2]
Kulikuwa na engine ikiitwa "kipsigis" zile za kuchochea kuni enzi za east africa railways.
 
Pwahahaaaaaaa atareeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] nipo hoiiii....afu cheki huyu mgambo hapo pembeni anavofurahia huo moshi!!

Hahahaha..... Hajawahi ona Treni...
 
Bora matatuu siyo hizo ujinga...
Its matatu and we like it ..the same way we are going to embrace sgr ..yenyu ya stima iko wapi?...leta picha tuone ..bado kwa makaratasi na uko na balls za kukuja kuandika shit hapa ..vitoto vya tanzania ...you don't deserve the word Mr.
 
Hongereni wakenya kwa SGR lakini kama mabehewa yenu ndo hayo kwenye picha pamoja na madaraja (classes) yake, bado mtahitaji maboresho zaidi. Mabehewa yetu ya Tanzania ni makuukuu lakini daraja la pili kulala (Sleeping coach) watu sita kwa kila chumba na daraja la kwa ni la kulala likiwa na vyumba vya watu wanne kila chumba.

Sasa huko kwenu mabehewa ni mapya lakini daraja la pili ni kama daraja la tatu kwa mabehewa yetu ya express coaches za treni zetu za kizamani.
 
Mnapatiwa vitanda kwa vile tazara inachukua siku tatu kufika Zambia, masaa manne hauhitaji kitanda ndugu yangu
 
Pwahahahaa.... Swissme foot soldiers.... Mmefukuzwa huko kwenyejukwaa la siasa mmekuja huku kama nzi za chooni
Hayo mapimbi ya kupuuza tu, leo nchi yao yote wanajadili vyeti vya Makonda. Yaani Magufuli ana kazi sio haba maana yeye anawaza viwanda halafu watu wake wote wamekomalia kujadili vyeti vya mtu mmoja.
Wazembe balaa.
 

Hey, kaka, vipi, hamna kulala huku, unajua hayo yana vyumba vya kulala sababu ya masaa njiani.

Ulivyo sikia haya yanachukua 3hrs 50min toka Nairobi hadi Mombasa, wapi pa kulala?? Ndio maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…