Treni ya kwanza ya SGR yakamilisha jaribio la safari kwa masaa 6

Very true.

I keep asking myself the same question kila wakati. Imagine if people here instead spent the same time and energy used for insulting each other to actually discuss and exchange ideas on matters that affect the people, this would be one of the most fruitful forums of all times.

I also noticed that Kenya and Tanzania are similar in so many ways, such that this D*ck measuring contest becomes a total waste of time.
 
Brother no different btn the two regarding the design, fashion and specification.
The only different is on painting.... one is recently painted the other is old.
. Hehehe... Hiyo ya Tz bana eeeh. That one is extremely scary. Imagine showing that to a baby vile atakunja uso na kilio atatoa... mmh usiseme
 
Exactly
 
pictures from the first test run of passenger service,only officials and experts from Kenya Railways and CRBC were on board

.

Yule wa chato akifikia kufanya haya, kuna watu atatuhamisha nchi,
 
Hiyo iliyopoteza Masaa 2 njiani ni ile yenye taa kubwa ktkt kama jicho la shetani au na hata hii naona ileile tu hilo libalbu sijui la nini naona mchina kawafanya vby sana
😀
 
Hizi ndizo za umeme,taratibu kaka jaribu kuficha ujinga.😀
 

Lakini naona we punguani, ulitaka za Nairobi ziwekwe vitanda???

Hizo zenu za wekwa vitanda maana engine ni za kuni miaka ndo ifike dodoma toka Dar.

Hapa ni masaa matatu dakika Hamsini umetoka Nairobi umefika Mombasa, utatafuta vitanda???
 
Lakini naona we punguani, ulitaka za Nairobi ziwekwe vitanda???

Hizo zenu za wekwa vitanda maana engine ni za kuni miaka ndo ifike dodoma toka Dar.

Hapa ni masaa matatu dakika Hamsini umetoka Nairobi umefika Mombasa, utatafuta vitanda???
Vipi kuhusu quality ya hizo boards,
Despite the being older, Tzs are better than Kenya's. (U know it)
 
120km/hr is a very normal speed. At least 250km/hr can be called fast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…