Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

Yap, chuma ipo full, ila changamoto kama hizi hii ndiyo mara ya kwanza na mwisho.
Hapana mkuu🤣. Changamoto ya kawaida hiyo wataendelea kuboresha zisiwe zinajitokeza.

Kikubwa namna hii. Likikwama mahali watu waendelee kulipost kwenyw majukwaa kama haya.
Maana nchi hii bila lawama watu waliopo ofisini kati hawataki kufanya
 
Kadogosa yupo ITV anapinga kauli hizi. Anasema wanaotoa taarifa hizo ndipo walipofikia ulewa wao.
.Yupo anabisha kila swali analouliza
Bila shaka itakua yupo katika dakika 45 ya itv. Hii ni shida kubwa upande wa uwajibishwaji na kupinga makosa.
Kuna siku chuma lile kuna moja linakua limechelewa kutoka kwa wakati hivo inabidi treni iliyowahi. isubiri chuma nyingine katika sehemu ya kupishana.

ratiba ifwatwe according.
 
labda kuna watu wanatakiwa watekwe humo ndani?...wamewaambia wasimamishe hapo ili kazi iishie hapohapo?. Marekebisho walikuwa wanasubiria liondoke na abiria
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Au umeme umekata
 
Hitilafu ni jambo la kawaida inategema inaweza kua hitilafu kubwa au ndogo na utatuzi wake ukawa mkubwa au mdgo vumilieni hapo ndo mnapojua umuhimu wa Technicians manake siku izi kila mtu anajidai fundi
Hitilafu kwa treni jipya na reli mpya??
 
Video inaongeza uzito sana. Hata wahudumu hawaonekani🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…