Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

Cheap is expensive,ni haraka ila uhakika wa kufika ni mdogo tofauti na Mabasi.

Bila shaka Kwa Sasa wenge la watu kukimbilia Sgr taratibu linaanza kupungua 🤪🤪
Na huu mradi tumeupa Xmas kadhaa wasipokuwa makini chaliii

Ova
 
Muda huu Kuna Watanzania wenzetu walioondoka Dar saa 10 jioni na treni ya SGR wamekwama maeneo fulani mkoa wa Morogoro.

Kwa muda wote huo abiria wamefungiwa ndani ya mabehewa, hawaruhusiwi kutoka nje. Hali ni mbaya sana watu wazima ma watoto wanateseka na joto plus njaa.

Lakini wahudumu wanagoma kufungua mipango kwa lengo la kuzuia taarifa za kuowama kwa treni hiyo kusambaa.
Hii taarifa ni uongo.
 
Hakuna tatizo katika hizo locomotives.
Na changamoto inasemekana haikuwa ya kiufundi,bali ilikua ikingojea treni yenzake ipite.
Matatizo kwenye usafiri wa treni ni jambo lisiloepukika.
Sweden moja ya Nchi zilizopiga hatua kubwa kwenye usafiri wa treni na mawasiliano huwa hizi changamoto zinatokea.Mara nyingi huwa zinasababishwa na signal failure au treni kupishana.
Tumekuwa Taifa la kulalamika tu bila kutafiti tatizo ni nini?
Tulalamike panapopaswa kulalamika not only for the sake ya kulalamika.
 
Kukata mauno huoni kila kijana na dada anacheza komasava,
Umbea,udaku pia,kubishana usimbayanga inatosha

Ova
Ni kweli hayo mavitu uliyoyataja wanaweza kuyafanya tena kwa umakini na ustadi wa hali ya juu!
 
biria wa treni ya umeme (SGR) ambao walikuwa wanasafiri kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro wameishia kukwama eneo la Ngerengere kuanzia saa 11 jioni na hadi sasa saa 4 usiku huu hakuna taarifa yoyote rasmi kusema wataondoka saa ngapi. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
Mkata iko wapi na Ngerengere iko wapi, mwenye SGR map tafadhali
 
Mkata iko wapi na Ngerengere iko wapi, mwenye SGR map tafadhali
Ngerengere ipo Pwani haipo Morogoro.
Mkata kuna njia ya kuelekea Dodoma nadhani usawa wa Kilosa inaitwa Mkata na ipo Morogoro.
 
Matatizo kwenye usafiri wa treni ni jambo lisiloepukika.
Sweden moja ya Nchi zilizopiga hatua kubwa kwenye usafiri wa treni na mawasiliano huwa hizi changamoto zinatokea.Mara nyingi huwa zinasababishwa na signal failure au treni kupishana.
Tumekuwa Taifa la kulalamika tu bila kutafiti tatizo ni nini?
Tulalamike panapopaswa kulalamika not only for the sake ya kulalamika.
Hapo umeongea mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Bila shaka itakua yupo katika dakika 45 ya itv. Hii ni shida kubwa upande wa uwajibishwaji na kupinga makosa.
Kuna siku chuma lile kuna moja linakua limechelewa kutoka kwa wakati hivo inabidi treni iliyowahi. isubiri chuma nyingine katika sehemu ya kupishana.

ratiba ifwatwe according.
Hv hakuna za kupishana tunategemea nn
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom