third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
Duuh👈Habari njema sana hizi kwa wanachadema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh👈Habari njema sana hizi kwa wanachadema!
😁😁Muda huu Kuna Watanzania wenzetu walioondoka Dar saa 10 jioni na treni ya SGR wamekwama maeneo fulani mkoa wa Morogoro.
Kwa muda wote huo abiria wamefungiwa ndani ya mabehewa, hawaruhusiwi kutoka nje. Hali ni mbaya sana watu wazima ma watoto wanateseka na joto plus njaa.
Lakini wahudumu wanagoma kufungua mipango kwa lengo la kuzuia taarifa za kuowama kwa treni hiyo kusambaa.
Sio njiani, ipo siku itakuwa katikati ya pori mliwe na fisi.Wewe usipande tena,wengine hata mseme inazimika njiani tutapanda tu.
Sio Mkata, Ni Msata.Hii train kwani ina pitia mkata njia ya tanga ikiwa ina enda dom
Kukata mauno huoni kila kijana na dada anacheza komasava,Yaani hii nchi sijui ni kitu gani tutaweza kukifanya kwa usahihi
Huu mradi hata mwaka tu hujatoboa!!
Hakuna situation mbaya mkwame kwenye treni na wasifungue milangoMuda huu Kuna Watanzania wenzetu walioondoka Dar saa 10 jioni na treni ya SGR wamekwama maeneo fulani mkoa wa Morogoro.
Kwa muda wote huo abiria wamefungiwa ndani ya mabehewa, hawaruhusiwi kutoka nje. Hali ni mbaya sana watu wazima ma watoto wanateseka na joto plus njaa.
Lakini wahudumu wanagoma kufungua mipango kwa lengo la kuzuia taarifa za kuowama kwa treni hiyo kusambaa.
Watu mnataka kuichukulia treni hii ya Sgr kana kwamba labda ni kitu spesho ambacho hakipati hitilafu au?Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari.
Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko.
=====
UPDATES: 2200HRS
======
TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa.
UPDATES 2
crowntvtzBreaking: Abiria wa treni ya umeme (SGR) ambao walikuwa wanasafiri kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro wameishia kukwama eneo la Ngerengere kuanzia saa 11 jioni na hadi sasa saa 4 usiku huu hakuna taarifa yoyote rasmi kusema wataondoka saa ngapi. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
PIA SOMA
- Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme
- Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!
Cheap is expensive,ni haraka ila uhakika wa kufika ni mdogo tofauti na Mabasi.Vumilieni
Ova
Mvumilivu hula mbivuVumilieni
Ova
😄😄😄Nyie mnachoweza kiufasaha ni kuteka
Kuna hitilafu halafu kuna incompetence, treni mpya hazitakowi kuwa kama gari la mkaaWatu mnataka kuichukulia treni hii ya Sgr kana kwamba labda ni kitu spesho ambacho hakipati hitilafu au?
Huo ni aina ya ujinga Mpya ingawa sitetei uzembe.
Nilisema mwanzoni tunakosea kujenga reli ya njia moja. CCM ni tatizo nchi hii!TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa.