Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni


Serikalini hakuna uwajibikaji....nobody cares....ngoja tuone!
 
Muda huu Kuna Watanzania wenzetu walioondoka Dar saa 10 jioni na treni ya SGR wamekwama maeneo fulani mkoa wa Morogoro.

Kwa muda wote huo abiria wamefungiwa ndani ya mabehewa, hawaruhusiwi kutoka nje. Hali ni mbaya sana watu wazima ma watoto wanateseka na joto plus njaa.

Lakini wahudumu wanagoma kufungua mipango kwa lengo la kuzuia taarifa za kuowama kwa treni hiyo kusambaa.
 
Kadogosa yupo ITV anapinga kauli hizi. Anasema wanaotoa taarifa hizo ndipo walipofikia ulewa wao.
.Yupo anabisha kila swali analouliza
Mkuu hii comment yako imenifanya niwahi pale youtube kucheki stream ya kipindi. Kwa aina ile ya majibu na yule ndo mkuu. Hii nchi labda itokee zali la mentali.
Anaulizwa swali anaomba opinion ya muandishi na swali hajajibu
 
Poor Poor Poor....
Incompetents
 
Nlipoona wananikagua halafu wanasema nitoe tena vitu kwenye bag ndio nliona ujinga pale

Anyways figisu lazima zipigwe magari ya Dar - Dom ni kasheshe

Na watapandisha nauli hawa na vikorosho vyao vile
 
Hii mbona ishaletwa zamani?

Kwanini mnawapa watu taharuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…