Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

Nadhani bado tupo kipindi cha majaribio, bado tuna mengi yakujifunza na kusahihisha!
 
Yaani hii nchi sijui ni kitu gani tutaweza kukifanya kwa usahihi
Huu mradi hata mwaka tu hujatoboa!!
 
😁😁
 
Yaani hii nchi sijui ni kitu gani tutaweza kukifanya kwa usahihi
Huu mradi hata mwaka tu hujatoboa!!
Kukata mauno huoni kila kijana na dada anacheza komasava,
Umbea,udaku pia,kubishana usimbayanga inatosha

Ova
 
Hakuna situation mbaya mkwame kwenye treni na wasifungue milango
 
Watu mnataka kuichukulia treni hii ya Sgr kana kwamba labda ni kitu spesho ambacho hakipati hitilafu au?

Huo ni aina ya ujinga Mpya ingawa sitetei uzembe.
 
Huu mradi unahujumiwa na wafanyakazi wenyewe. Huwez mfungia mtu toka kwa masaaa Saba bila kumwambia sababu zozote, hapo trc wanamakosa.
Lakini hata ukiangalia ratiba walivyoziweka kwa safar ya dodoma SI kwa Nia ya kumsaidia mwananchi wa kawaida Bali ni kama kukomoa tu ili watu waendelee kupanda mabasi
Huwez kuweka ratiba ya saa kumi na Moja usiku na kumi na mbili jion kwa mazingira ya kituo kilipowekwa, maana kwa mtu anayeekea dar inamlazimu aamke saa Tisa kuelekea stend wakat kwa mda huo kama huna usafiri au uko nje kidogo ya mji basi huwez tumia na ukiangalia mabehewa na vichwa vipi tu.
 
Watu mnataka kuichukulia treni hii ya Sgr kana kwamba labda ni kitu spesho ambacho hakipati hitilafu au?

Huo ni aina ya ujinga Mpya ingawa sitetei uzembe.
Kuna hitilafu halafu kuna incompetence, treni mpya hazitakowi kuwa kama gari la mkaa
 
Serekali iwe makini wasiruhusu sabotage. Watu wa mabasi hii treni inawauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…