Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

Cheap is expensive,ni haraka ila uhakika wa kufika ni mdogo tofauti na Mabasi.

Bila shaka Kwa Sasa wenge la watu kukimbilia Sgr taratibu linaanza kupungua πŸ€ͺπŸ€ͺ
Na huu mradi tumeupa Xmas kadhaa wasipokuwa makini chaliii

Ova
 
Hii taarifa ni uongo.
 
Cheap is expensive,ni haraka ila uhakika wa kufika ni mdogo tofauti na Mabasi.

Bila shaka Kwa Sasa wenge la watu kukimbilia Sgr taratibu linaanza kupungua πŸ€ͺπŸ€ͺ
Hakuna tatizo katika hizo locomotives.
Na changamoto inasemekana haikuwa ya kiufundi,bali ilikua ikingojea treni yenzake ipite.
 
Hakuna tatizo katika hizo locomotives.
Na changamoto inasemekana haikuwa ya kiufundi,bali ilikua ikingojea treni yenzake ipite.
Matatizo kwenye usafiri wa treni ni jambo lisiloepukika.
Sweden moja ya Nchi zilizopiga hatua kubwa kwenye usafiri wa treni na mawasiliano huwa hizi changamoto zinatokea.Mara nyingi huwa zinasababishwa na signal failure au treni kupishana.
Tumekuwa Taifa la kulalamika tu bila kutafiti tatizo ni nini?
Tulalamike panapopaswa kulalamika not only for the sake ya kulalamika.
 
Kukata mauno huoni kila kijana na dada anacheza komasava,
Umbea,udaku pia,kubishana usimbayanga inatosha

Ova
Ni kweli hayo mavitu uliyoyataja wanaweza kuyafanya tena kwa umakini na ustadi wa hali ya juu!
 
Mkata iko wapi na Ngerengere iko wapi, mwenye SGR map tafadhali
 
Mkata iko wapi na Ngerengere iko wapi, mwenye SGR map tafadhali
Ngerengere ipo Pwani haipo Morogoro.
Mkata kuna njia ya kuelekea Dodoma nadhani usawa wa Kilosa inaitwa Mkata na ipo Morogoro.
 
Hapo umeongea mkuu.
 
Reactions: Tui
Hv hakuna za kupishana tunategemea nn
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…