Hili la Sgr ni la muda gani? Mpaka ukamue wananchi? Kwani deni la taifa lazima ulipe kupitia nauli za wananchi? Huwezi kuuza dhahabu na kulipa?
Stupidity is not a defenceEndelea kupanda mabasi hayajafa bado yapo. Kuna hadi malori nauli elfu5 tu unafika kesho.
Mambo mengine ni uamuzi wako sio lazima ulalamike kila kitu.
Serikali inamiliki migodi ya dhahabu??
Stupidity is not a defenceHuna akili. Hiyo serikali yako inachimba Dhahabu wapi? Unajua hata TZ inazalisha kiasi gani Cha Dhahabu kwa mwaka? Unajua bei za uzalishaji na bei ya Dhahabu sokoni?
Stupidity is not a defenceHana akili huyu bwana.
Na litawashinda kuendesha mwisho wa siku watatafuta mwekezaji
Stupidity is not a defence
Mradi unatakiwa kujiendesha wenyewe na kulipa deni hiyo dhahabu ilishauzwa siyo ya kwetu tena.Hili la Sgr ni la muda gani? Mpaka ukamue wananchi? Kwani deni la taifa lazima ulipe kupitia nauli za wananchi? Huwezi kuuza dhahabu na kulipa?
Vyote kwa pamojaSerikali inatoa service au inafanya biashara?
si tulikua tunajenga kwa fedha zetu za Ndani au?Mnafikiria mtalipaje hayo madeni mliyotumia kujenga??
Kabla huja break even huwezi shusha bei, yaani reli ijengwe kwa Trillion 4+ alaf nauli elfu 20, kumbuka kuna operational costs kma mishahara, maintenance n.k sasa utawekaje nauli elfu 20?Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu?
=====
Kufahamu zaidi nauli za maeneo mengine soma:
Thread 'Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000' Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000
Utapanda? Wakati basi ni sh 31,000 ?20k hapana, 50k hapana pia wangefanya 100k ili kurudisha faida kabla ya mradi kufa
Wapo watakaopanda, mm ntapanda msbusUtapanda? Wakati basi ni sh 31,000 ?
Kwani tukilipa nauli ya elfu ishirini deni halilipiki?