Treni ya SGR imekuja kukomboa au kudidimiza wananchi? Hayati Magufuli asingekubali nauli hizi

Treni ya SGR imekuja kukomboa au kudidimiza wananchi? Hayati Magufuli asingekubali nauli hizi

Hili la Sgr ni la muda gani? Mpaka ukamue wananchi? Kwani deni la taifa lazima ulipe kupitia nauli za wananchi? Huwezi kuuza dhahabu na kulipa?

Huna akili. Hiyo serikali yako inachimba Dhahabu wapi? Unajua hata TZ inazalisha kiasi gani Cha Dhahabu kwa mwaka? Unajua bei za uzalishaji na bei ya Dhahabu sokoni?
 
Endelea kupanda mabasi hayajafa bado yapo. Kuna hadi malori nauli elfu5 tu unafika kesho.

Mambo mengine ni uamuzi wako sio lazima ulalamike kila kitu.
Stupidity is not a defence
 
Huna akili. Hiyo serikali yako inachimba Dhahabu wapi? Unajua hata TZ inazalisha kiasi gani Cha Dhahabu kwa mwaka? Unajua bei za uzalishaji na bei ya Dhahabu sokoni?
Stupidity is not a defence
 
Na litawashinda kuendesha mwisho wa siku watatafuta mwekezaji
 
Serikali inatoa service au inafanya biashara?
 
Hili la Sgr ni la muda gani? Mpaka ukamue wananchi? Kwani deni la taifa lazima ulipe kupitia nauli za wananchi? Huwezi kuuza dhahabu na kulipa?
Mradi unatakiwa kujiendesha wenyewe na kulipa deni hiyo dhahabu ilishauzwa siyo ya kwetu tena.
 
Nini maana ya kuwa na shirika la umma?

Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?

Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu?

=====

Kufahamu zaidi nauli za maeneo mengine soma:

Thread 'Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000' Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000
Kabla huja break even huwezi shusha bei, yaani reli ijengwe kwa Trillion 4+ alaf nauli elfu 20, kumbuka kuna operational costs kma mishahara, maintenance n.k sasa utawekaje nauli elfu 20?

Huyo JPM mwenyewe mbona aliweka bei za ndege kuwa juu kuliko hata fast jet iliyofanyiwa zengwe.

JPM huyo huyo alijenga daraja la Kigamboni na kuweka tozo.

So msimgeuze malaika hapa.
 
Akili za Kitanzania ni kuuza shamba ili ulipe deni badala ungelima mazao tofauti kwenye shamba hilo hilo ili kupata nguvu zaidi na kulipa deni kupitia faida za mazao na baada ya deni kuisha upate kutajirika na shamba hilo.
 
Wabongo bana kila kitu mnataka mseleleko,hivi kwa ubora ule wa SGR unataka ulipe book 2000 Dar hadi Moro au? Hebu tuwe serious kidogo.
 
Back
Top Bottom