Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu?
=====
Kufahamu zaidi nauli za maeneo mengine soma:
Thread 'Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000' Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000
ukikwama hicho kiwango cha nauli za treni, mabasi si yapo kwa kiwango cha nauli ulichonacho 🐒Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu?
=====
Kufahamu zaidi nauli za maeneo mengine soma:
Thread 'Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000' Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000
Tuliza akili. Hiyo Quora ni source tu ya nilichokiandika.Ukitumia quora haimaanishi kuwa usitumie uhalisia nje ya hapo.
Deni la TAZARA mpaka sasa halikuwahi kumalizwa, hata nusu ya deni haijawahi kulipwa, na Mchina anajiandaa kuichukua ili aiendeshe mwenyewe
Yes, But; TIME & DEPRECIATION RATE FACTOR NI DETERMINAT KUU.Investment cost...
Siyo charity hiyo,ni biashara,mnataka baadae mradi ufeHoja hapa nikuleta nafuu kwa wanannchi. Kumbuka hii ni mali ya umma, sio ya wamiliki wa mabasi
Tuliza akili ndipo ujibu bila hivyo utaendelea kuuliza maswali ambayo hata ukipewa majibu bado hautayaelewa.Tuliza akili. Hiyo Quora ni source tu ya nilichokiandika.
Hoja hapa; by its nature, reli inapaswa kuwa nafuu kuliko Bus.
Kuhusu hiyo TAZARA, Sababu ya deni kutomalizwa una hakika ilikua ni bei ndogo ya usafiri?
Kapande busHuyu ni aia ya watu wasio na uelewa kabisa! Serikali ni mali ya wananchi, inatakiwa kutoa huduma, haitakiwi kutafuta mafaida makubwa na kuumiza wananchi!
Madogo Masanja alisema walitumia umeme wa laki tatu tu kufika Morogoro na kurudi Dar, sasa hayo manauli makubwa ni ya nini?
Ni kuumiza wananchi tu bila sababu! Hii serikali haiwapendi watu wake!
Mwendokasi ni charity au biashara?Siyo charity hiyo,ni biashara,mnataka baadae mradi ufe
Ni mali ya umma sawa, lakini kumbuka serikali inaweza ikamkabidhi muendeshaji binafsi ili kuboresha usimamizi na utunzajiHoja hapa nikuleta nafuu kwa wanannchi. Kumbuka hii ni mali ya umma, sio ya wamiliki wa mabasi
Biashara,hoja nini!?Mwendokasi ni charity au biashara?