Treni ya SGR imekuja kukomboa au kudidimiza wananchi? Hayati Magufuli asingekubali nauli hizi

Treni ya SGR imekuja kukomboa au kudidimiza wananchi? Hayati Magufuli asingekubali nauli hizi

Nachojua nauli daraja la kawaidi ni sh elf 31 Dar Dodoma,,hiyo 50 ni daraja la kati..Sasq shida ya mlalamikaji ni ipi?Soma maamuzi ya Latra kabla ya kuja hapa kulalamika
 

Attachments

  • VID-20240629-WA0008.mp4
    2.8 MB
Nini maana ya kuwa na shirika la umma?

Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?

Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu?

=====

Kufahamu zaidi nauli za maeneo mengine soma:

Thread 'Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000' Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000
ukikwama hicho kiwango cha nauli za treni, mabasi si yapo kwa kiwango cha nauli ulichonacho 🐒
 
Chukulia kuwa ipo kwenye majaribio mpaka route zitakapomalika na mapato na matumizi yatakapoonekana kiuhalisia, nauli itashuka lakini tusitegemee nauli kushuka sana.

Ukiona ghali nenda na basi aua panda reli ya kati. Si ipo bado? u ndiyo inakuwa scrap?

Au susa usiende Dodoma, kinakupeleka nini?
 
Bibi tozo Nchi ilishamshinda.kipindi Magufuli akiwa hai alisema JNHEPP ikikamilika lazima bei ipungue ili kuvutia uwekezaji wa viwanda pamoja na kuongeza wateja wa kuungwa na huduma ya umeme ambapo Tanesco wangevuna pesa nyingi lakini yeye bibi tozo pamoja na kukamilika Kwa miradi hiyo bei ya umeme imeongezeka.sasa kama hakuna punguzo la bei la umeme hiyo JNHEPP inafaida Gani?
 
Miradi yote inayofanywa na serikali kupitia mikopo inatakiwa kuwasaidia wananchi na sio kuwadidimiza.

Kukamilika kwa ujenzi wa bwala la Nyerere kusaidie kupunguza gharama za umeme ili mwananchi wa kawaida aweze kutumia umeme kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani, ofisini na viwandani.

Vivyo hivyo, na kukamilika kwa ujenzi wa SGR kusaidie wananchi katika nyanja ya usafirishaji. Serikali iweke ghqrama nafuu za nauli ili watumiaji wawe wengi na pesa iliyokopwa iweze kurudishwa. Kama wakikomaza mafuvu na kuweka gharama kubwa za nauli itashindwa kuendesha SGR kwa kukosa watumiaji na mwisho wa siku mradi kutokuwa na tija.
 
Ukitumia quora haimaanishi kuwa usitumie uhalisia nje ya hapo.
Deni la TAZARA mpaka sasa halikuwahi kumalizwa, hata nusu ya deni haijawahi kulipwa, na Mchina anajiandaa kuichukua ili aiendeshe mwenyewe
Tuliza akili. Hiyo Quora ni source tu ya nilichokiandika.

Hoja hapa; by its nature, reli inapaswa kuwa nafuu kuliko Bus.
Kuhusu hiyo TAZARA, Sababu ya deni kutomalizwa una hakika ilikua ni bei ndogo ya usafiri?
 
Investment cost...
Yes, But; TIME & DEPRECIATION RATE FACTOR NI DETERMINAT KUU.

Train uafanya huge investment mwanzo lakini low day to day operations cost tofauti na Bus, pia depreciation rate ya Bus ni faster (max 3 years, mchina) ila train ni more More than 30 years. Hata mkopo wa sekta ya bus ni max 3 years ila train goes beyond 20 years, so hata bei ya nauli lazima iwe chini sababu marejesho ni miaka minga sana.
 
Tuliza akili. Hiyo Quora ni source tu ya nilichokiandika.

Hoja hapa; by its nature, reli inapaswa kuwa nafuu kuliko Bus.
Kuhusu hiyo TAZARA, Sababu ya deni kutomalizwa una hakika ilikua ni bei ndogo ya usafiri?
Tuliza akili ndipo ujibu bila hivyo utaendelea kuuliza maswali ambayo hata ukipewa majibu bado hautayaelewa.
By it’s nature rail transport should be cheap katika namna zote, ila inapohama kutoka katika just a rail transport na kufikia ilipo hii rail, then kuna gharama lazima ziongezeke, maana usafiri huo mbali ya kupunguza sana muda a safari pia, kuna risk ya miundombinu ndani ya mabehewa kuharibiwa na kuchakaa, hivyo uangalizi na replacement za mara kwa mara kuhitajika.
Mfano, ili kupunguza gharama, ilipaswa viti vya kukalia ndani ya mabehewa viwe kama vile vya kwenye mabasi ya mwendokasi. Hapa ingeondoa uharibifu wa mara kwa mara wa viti hivyo
 
Eti umeme upo wa kutosha
Wapi huko inatosha?
Kama una kumbukumbu iliwahisemwa kwamba kukamilika kwa bwawa lile hakutoi nafuu ya gharama za umeme ambao labda ungepelekea kuwa na bei nafuu kwenye tren
 
Huyu ni aia ya watu wasio na uelewa kabisa! Serikali ni mali ya wananchi, inatakiwa kutoa huduma, haitakiwi kutafuta mafaida makubwa na kuumiza wananchi!
Madogo Masanja alisema walitumia umeme wa laki tatu tu kufika Morogoro na kurudi Dar, sasa hayo manauli makubwa ni ya nini?
Ni kuumiza wananchi tu bila sababu! Hii serikali haiwapendi watu wake!
Kapande bus
 
Hoja hapa nikuleta nafuu kwa wanannchi. Kumbuka hii ni mali ya umma, sio ya wamiliki wa mabasi
Ni mali ya umma sawa, lakini kumbuka serikali inaweza ikamkabidhi muendeshaji binafsi ili kuboresha usimamizi na utunzaji
 
Endelea kupanda mabasi hayajafa bado yapo. Kuna hadi malori nauli elfu5 tu unafika kesho.

Mambo mengine ni uamuzi wako sio lazima ulalamike kila kitu.
 
Back
Top Bottom