Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

Kuliko kwenda kununua treni ya umeme second hand ije iuwe watu bora wangewekeza kwenye kuhakikisha kila mtanzania anapata maji safi, wangewekeza nguvu tuu kwenye ishu kama ya maji wasiruke stage.
 
mtu masikini na mikosi
Mkosi ni nini?
Timing mbovu?
Kukosa umakini?
Kukosa weledi?
Kutowajibika kwa wakati?
Maamuzi mabovu kwa sbb ya kukosa taarifa sahihi?
..............
...............
....
...
........
Compare and contrast btn mkosi and bahati.......
 
Kuliko kwenda kununua treni ya umeme second hand ije iuwe watu bora wangewekeza kwenye kuhakikisha kila mtanzania anapata maji safi, wangewekeza nguvu tuu kwenye ishu kama ya maji wasiruke stage.
Project ya kila mtanzania kupata maji safi ni kubwa kuliko sgr yenye train za mtumba.
 
Trendi ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache.

"Haijafahamika chanzo ila treni imehama kwenye reli kama inavyoonekana kwenye video na picha, hatujaambiwa chochote ila kuna Viongozi na Maaskari wameanza kufika hapa sio mbali na hapa Stesheni Ruvu" - amesema mmoja wa Abiria hao.

Msemaji wa Shirika la Reli (TRC) Fredy Mwanjala akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, amekiri kupokea taarifa za ajali hiyo ambapo tumemnukuu akisema “tumepokea hizo taarifa za Treni kupata ajali na kwa kuwa ndio kwanza tumezipata kwa sasa Mkurugenzi Mkuu na Katibu Mkuu wa Wizara wote tunaelekea eneo la tukio na tunatoa taarifa baadae baada ya kufanya tathmini ya kina na Wataalamu” #MillardAyoUPDATES
FB_IMG_1761203726181.jpg
FB_IMG_1761203726181.jpg
 
Ngoja tusubiri taarifa rasmi ya chanzo cha ajali...

Hii sio kawaida
 
Trendi ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache.

"Haijafahamika chanzo ila treni imehama kwenye reli kama inavyoonekana kwenye video na picha, hatujaambiwa chochote ila kuna Viongozi na Maaskari wameanza kufika hapa sio mbali na hapa Stesheni Ruvu" - amesema mmoja wa Abiria hao.

Msemaji wa Shirika la Reli (TRC) Fredy Mwanjala akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, amekiri kupokea taarifa za ajali hiyo ambapo tumemnukuu akisema “tumepokea hizo taarifa za Treni kupata ajali na kwa kuwa ndio kwanza tumezipata kwa sasa Mkurugenzi Mkuu na Katibu Mkuu wa Wizara wote tunaelekea eneo la tukio na tunatoa taarifa baadae baada ya kufanya tathmini ya kina na Wataalamu” #MillardAyoUPDATESView attachment 3492218View attachment 3492218


Eti imeacha njia😂

Ajali ni ajali, iwe ni kwa kuacha njia ama kugonga nk
 
Hujuma zitamuandama mpaka ajute

Huwezi ukawa kiongozi wa matabaka ukabaki salama

Haya watume askari kama kwenye mwendo kasi kila Kituo walinde miundombinu ya reli
 
Mradi apewe Ridhiwani huu.
Pesa IPO uwezo anao.
Nyie wanunua vya kusagura nyie kaeni pembeni.
 
Back
Top Bottom