Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Mimi kama Industrial Engineer aliyepo Ujerumani. Nimefanya consultation katika uzalishaji wa software za kuongoza na kumantain treni za umeme.Ulisema wewe kama nani?
Tungeanza na umeme wa uhakika kwanza nchi nzima. Na huo umeme unatakiwa uwe wa bei rahisi kuliko solar. Baada ya hapo ndipo tujenge SGR. Sasa tuna SGR wakati umeme wetu tunanunua bei ghali kutoka SONGAS NA IPTL. Kwa hali hii mradi sio feasible na hautadumu.