Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Mimi kama Industrial Engineer aliyepo Ujerumani. Nimefanya consultation katika uzalishaji wa software za kuongoza na kumantain treni za umeme.Ulisema wewe kama nani?
Mimi kama Industrial Engineer aliyepo Ujerumani. Nimefanya consultation katika uzalishaji wa software za kuongoza na kumantain treni za umeme.
Tungeanza na umeme wa uhakika kwanza nchi nzima. Na huo umeme unatakiwa uwe wa bei rahisi kuliko solar. Baada ya hapo ndipo tujenge SGR. Sasa tuna SGR wakati umeme wetu tunanunua bei ghali kutoka SONGAS NA IPTL. Kwa hali hii mradi sio feasible na hautadumu.
Bwawa lipo lakini kwa nini tunanunua umeme Songas na IPTL ? Wiki iliyopita kulikuwa na mgao wa umeme katika jiji kuu la biashara Tanzania. Umeme wa uhakika ni kukaa at keast miaka kumi bila mgao wa umeme. Hauwezi kuendesha treni za umeme kwa umeme wa mgao.Mkuu unasemaje hatuna umeme wa uhakika, Baada ya Kukamilika na kuanza kutumika JNHP. Hembu fafanua what is your point?
Unamaanisha trillion 20 iliyotumika kwenye SGR haitoshi kupata maji safi kwa watanzania?Project ya kila mtanzania kupata maji safi ni kubwa kuliko sgr yenye train za mtumba.
Kwani Tanzania kwasasa tunazalisha umeme kiasi gani na mahitaji yetu ni kiasi gani?Mimi kama Industrial Engineer aliyepo Ujerumani. Nimefanya consultation katika uzalishaji wa software za kuongoza na kumantain treni za umeme.
Tungeanza na umeme wa uhakika kwanza nchi nzima. Na huo umeme unatakiwa uwe wa bei rahisi kuliko solar. Baada ya hapo ndipo tujenge SGR. Sasa tuna SGR wakati umeme wetu tunanunua bei ghali kutoka SONGAS NA IPTL. Kwa hali hii mradi sio feasible na hautadumu.
Songas mkataba wao ulishaisha na hawajarenew mpaka leoBwawa lipo lakini kwa nini tunanunua umeme Songas na IPTL ? Wiki iliyopita kulikuwa na mgao wa umeme katika jiji kuu la biashara Tanzania. Umeme wa uhakika ni kukaa at keast miaka kumi bila mgao wa umeme. Hauwezi kuendesha treni za umeme kwa umeme wa mgao.
Kwaiyo unamaanisha tusiwe na njia za uchukuzi tuwe tunakunywa tu maji inatosha?Project ya kila mtanzania kupata maji safi ni kubwa kuliko sgr yenye train za mtumba.
Kwaiyo unamaanisha tusiwe na njia za uchukuzi tuwe tunakunywa tu maji inatisha?
Hayo maswali ni ya tanesco. Mimi ninasema inabidi tuwe na umeme wa uhakika ili tuanze na SGR. Tumeruka stage ndugu yangu. Nchi zilizoendelea energy(Umeme,Gesi Mafuta) ni bei rahisi lakini huku ni gharama.Kwani Tanzania kwasasa tunazalisha umeme kiasi gani na mahitaji yetu ni kiasi gani?
Songas mkataba wao ulishaisha na hawajarenew mpaka leo
Kwaiyo tatizo ni umeme hautoshi au gharama au hujui?Hayo maswali ni ya tanesco. Mimi ninasema inabidi tuwe na umeme wa uhakika ili tuanze na SGR. Tumeruka stage ndugu yangu. Nchi zilizoendelea energy(Umeme,Gesi Mafuta) ni bei rahisi lakini huku ni gharama.
Songs mkataba umeisha ila Rostam ameshanunua hisa za mwekezaji. Tunazunguka mule mule .
Tatizo hatuna umeme wa uhakika. Ujerumani umeme haujakatika toka miaka ya 80. Sasa unataka ku-operate treni ya umeme wakati wiki iliyopita kulikuwa na mgao wa umeme hapo dsm.Kwaiyo tatizo ni umeme hautoshi au gharama au hujui?
Shida si umeme, shida ni Uongozi wa FISADI SAMIA SULUHU HASSAN na magenge yake.Tatizo hatuna umeme wa uhakika. Ujerumani umeme haujakatika toka miaka ya 80. Sasa unataka ku-operate treni ya umeme wakati wiki iliyopita kulikuwa na mgao wa umeme hapo dsm.
Katika watu waliongea vizuri ni wewe mkuu. Umeme unatakiwa uwe wa bei rahisi kuliko. Nchi zenye viwanda na maendeleo makubwa beibzao za nishati(umeme, gesi na mafuta ) zipo chini.Shida si umeme, shida ni Uongozi wa FISADI SAMIA SULUHU HASSAN na magenge yake.
Kwa umeme unaozalishwa Tanzania Mpaka sasa ilitakiwa bei ishuke hata mara 4, lakini maajabu ndio gharama za ajabu ajabu zinapanda.
Ujenzi wa SGR ulikuwa mzuri kama muanzilishi(JPM) angeumaliza yeye mwenyewe mpaka mwisho, hizi hujuma zisingekuwepo, kuanzia aina ya Treni, huduma zitolewazo, utatuzi wa kero na speed ya kukamilika kwake.
Iko wazi huu mradi karibia 90% ya hawa wanasiasa wa leo mpaka huyo Rais wenu hawakufuraishwa na huu mradi maana unaua Vitega uchumi vyao vya mabasi ya abiria na magari ya mizigo ambayo tender zake zinapungua, ni vile tu mradi ulishaanza hivyo hawana budi kuukamilisha japo kishingo upande ili kuwaridhisha waTanzania
The same thing inafanyika kwa bwawa la umeme limepigwa vikwazo kila aina mpaka leo hii mategemeo ya lilichotakiwa kufanya ni tofauti na kinachofanyika.
UONGOZI MFU WA SAMIA NA MEGENGE YAKE NI MUENDELEZO WA ANGUKO KWA MAENDELEO YA HII NCHI