Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 23, 2025 #81 Siri yangu said: Ni kweli kabisaa kuna ajali imetokea ila bado haijafahamika ni eneo gani , Mungu tusaidie huyu mama kila kitu kinamkataa Click to expand... Upo siku utashindwa kubeba mimba ya mume wako, utamlaumu samia kuwa hadi mimba yako inamkataa
Siri yangu said: Ni kweli kabisaa kuna ajali imetokea ila bado haijafahamika ni eneo gani , Mungu tusaidie huyu mama kila kitu kinamkataa Click to expand... Upo siku utashindwa kubeba mimba ya mume wako, utamlaumu samia kuwa hadi mimba yako inamkataa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 23, 2025 #82 Hatari sana
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,061 Reaction score 21,592 Oct 25, 2025 #83 Madwari Madwari said: Tatizo hatuna umeme wa uhakika. Ujerumani umeme haujakatika toka miaka ya 80. Sasa unataka ku-operate treni ya umeme wakati wiki iliyopita kulikuwa na mgao wa umeme hapo dsm. Click to expand... leta ushahidi wa huo mgao dsm maana hata mimi ni mkazi wa dsm
Madwari Madwari said: Tatizo hatuna umeme wa uhakika. Ujerumani umeme haujakatika toka miaka ya 80. Sasa unataka ku-operate treni ya umeme wakati wiki iliyopita kulikuwa na mgao wa umeme hapo dsm. Click to expand... leta ushahidi wa huo mgao dsm maana hata mimi ni mkazi wa dsm
Madwari Madwari JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 2,732 Reaction score 4,568 Oct 25, 2025 #84 much know said: leta ushahidi wa huo mgao dsm maana hata mimi ni mkazi wa dsm Click to expand... 👇👇Mwezi mmoja uliopita Attachments 1757326604122.png 181.6 KB · Views: 22
much know said: leta ushahidi wa huo mgao dsm maana hata mimi ni mkazi wa dsm Click to expand... 👇👇Mwezi mmoja uliopita
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,061 Reaction score 21,592 Oct 25, 2025 #85 Madwari Madwari said: 👇👇Mwezi mmoja uliopita Click to expand... Inaonekana huna uelewa wa neno mgao maana yake nini Hicho ulicholeta sio mgao wa umeme
Madwari Madwari said: 👇👇Mwezi mmoja uliopita Click to expand... Inaonekana huna uelewa wa neno mgao maana yake nini Hicho ulicholeta sio mgao wa umeme