Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hata miezi minne haijapita accident!!!!!!!!!!!Msigwaaa Kiko wapi 🤣🤣
Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU .
Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma .
View attachment 3492213
.
View attachment 3492214
Huwezi kupanda pilipili ukavuna asali!Hata miezi minne haijapita accident!!!!!!!!!!!
Watoto wa vimemo, walio vizuri wanatupwaa kitaa wasage miguuJapan treni ina miaka 100 na 0 accident. 😂
SamuyaKwa tuanze kwa kumshukuru mwishimiwa.......
Mo29
DuuuhMsigwaaa Kiko wapi 🤣🤣
Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU .
Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma .
View attachment 3492213
.
View attachment 3492214
Acha. kila nikifikiria ninakosa majibu. Rushwa wizi vinakwenda kututumbukiza shimoni tukiangalia hivihivi.Nchi imelaaniwa hii, hakuna hata anayesema hili acha, kila mmoja anaona fahari kuiibia nchi