Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

Japan treni ina miaka 100 na 0 accident. 😂
Labda Japan ya Nangurukuru lakini siyo hii yenye Tokyo kama mji mkuu
Screenshot_20251023_151257_Chrome.jpg
 
Magari ya kifahari Mabosi wako wote huwa yanaagizwa kutoka nje yakiwa na Zero Kilometer! Halafu treni mnaenda kununua ya mtumba, huku mkipingana na sheria mlizoziweka wenyewe.

Matokeo yake ndiyo haya sasa.
Lipa kodi wewe mengine tuachie sisi
 
Madhara ya kuvaa mitumba ni kuwa unaweza kukuta chawa humo humo ndani yake na baada ya muda mfupi nguo inachanika yenyewe bila sababu
 
mteego wa nyani huo
Ndio budget za serikali zipo hivyo. Hata wakitaka kujenga shule ya milioni 50, watatenga milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo
So na hii treni tutegemee kuona budget kubwa sana ikitumika kurekebisha
 
Kuna wahuni washaanza kupiga hesabu za gari za bei mbaya hapo kwenda kuzipaki makwao kwa pesa za walipakodi
 
NILISHAWAHI KUSEMA

"HAKUNA KITU SERIKALI YA CCM ITAFANYA KIWE NA MATOKEO MAZURI NA KIKADUMU HATA MIAKA 20 TU HAKUNA"

watu mafisadi Kila mradi wao wanafikiria kuiba tu na kuujumu au 10%

Serikali ya CCM imeoza Kila sehemu

Hakuna Cha Elimu Bure !

Hakuna Cha bima ya Afya Kwa wote

Hakuna SGR

Wala hakuna BBT NI UFISADI NA WIZI TU.
 
Japan treni ina miaka 100 na 0 accident. 😂
Hakuna takwimu za miaka 100
Ila ajali za Train zimetokea nyingi tu Japan
Kuna mbili zilifuatana mwaka 1962 na 63 ambazo ziliuwa zaidi ya watu 200

Zipo nyingi na nina uhakika
 
Nini imesababisha hiyo derailment au ni uzembe au sabotage?
Nadhani hata competence ya drivers inatia mashak!
Sina hakika kama kuna utaratibu mzuri wa ku-train locomotive drivers kama ilivyokuwa siku za nyuma.
 
Nadhani hata competence ya drivers inatia mashak!
Sina hakika kama kuna utaratibu mzuri wa ku-train locomotive drivers kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Kazi zenyewe za kununua sijui utaratibu wa kuajiri madereva unakuaje.
 
Hii hujuma ilipangwa gizani kitambo Ili wapate damu ya watu wengi

Hata hivyo,

Imeshindwa pia.

Labda watoke watoto wao .
 
Wanakuambia imeacha njia, haijapata ajali😀
Hii ajali ni uzembe 100%. Tena ajali ya kizembe kweli kweli. Treni haiwezi kuacha njia hivi kama reli na treni havina tatizo linalotokana na uzembe.
 
Back
Top Bottom