Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

Uliataka ipite miezi mingapi?mbona mtotot anafariki hata siku moja hajamaliza?

Acheni chuki za maji taka mbona magari,ndege,nk vinapata ajali vikiwa vipya hata siku moja tu
Kwako hiyo ni chuki? Backward mindset. Unajua kuangusha train au Boeing 777 hasara kiasi gani?

Yule pilot wa Emirates aliyesababisha ndege iungue kwenye landing yupo prison sasa hivi, utashangaa hawa waliosababisha hii ajali wapo mtaani. Akili yako ipo tu kwenye “whataboutism”
 
Inaonekana ni derailment sio kila kitu tufanye ni siasa cha kujiuliza ni nini kimesababisha je ni service hafifu kama kwenye mabasi ya mwendo kasi? Naona wheels zimeng'oka kabisa

Ni mambo ambayo hutokea dunia nzima.
Ni kweli,
Tulipata derailment itigi kitambo tu tukakaa siku pale.
na nafkiri SGR lilikua in slow motion kukaribia Ruvu station.
Km lingekua speed humo asingetoka mtu.
 
Ni kweli,
Tulipata derailment itigi kitambo tu tukakaa siku pale.
na nafkiri SGR lilikua in slow motion kukaribia Ruvu station.
Km lingekua speed humo asingetoka mtu.
Tumshukuru Mungu hakuna mtu aliyepoteza maisha.
 
Vyombo gani vimezuiwa kuripoti wakati hadi MillardAyo ameripoti? Au ndo Propaganda za kinyumbu
Mkuu, hiyo mijinga na mipumbavu ni ya kuipotezea tu wakati mwingine unaiacha inajibiwa na Mungu mwenyewe. Huko china, kwa mfano, zimetokea ajali ngapi?!!!!! Hv ni kweli japan hakuwahi kutokea ajali?!!!! Italy haijatokea ajali?!!!! Greece haijatokea ajali?!!!!!

Chuki yao kwa Samia waliyemshindwa inawafanya wawe mandondo ya kupindukia.
 
Hakuna takwimu za miaka 100
Ila ajali za Train zimetokea nyingi tu Japan
Kuna mbili zilifuatana mwaka 1962 na 63 ambazo ziliuwa zaidi ya watu 200

Zipo nyingi na nina uhakika
Hivyo ni ajali 2 ndani ya miaka 60.
Na hiyo ni locomotive train sio SGR yao.
 
Back
Top Bottom