Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

Poleni kwa walioumia. TRC wameishatuona taarifa kwa Umma kuwa ni changamoto za kiuendeshaji!!!
 
Inaonekana ni derailment sio kila kitu tufanye ni siasa cha kujiuliza ni nini kimesababisha je ni service hafifu kama kwenye mabasi ya mwendo kasi? Nao wheels zimeng'oka kabisa

Ni mambo ambayo hutokea dunia nzima.
Typical cheap answers to very complicated issues, hii ndiyo akili ya KI-Afirika
 
Typical cheap answers to very complicated issues, hii ndiyo akili ya KI-Afirika
Mkuu mimi sio mtabiri ila hadi kufika jioni tutaona vipicha vya ajali za nchi nyingine ambazo machawa watakuwa wamedownload halafu wamelipwa buku 7 na kupewa hii script.

"Ajali haina kinga hata ulaya iliwahi kutokea mwaka fulani mfano nchi ..X"

Halafu baada ya hapo yule msemaji wa serikali ambaye kwa sasa hana tofauti na muimbaji wa taarab ataanza kufuatilia waliopiga picha na kurecord tukio badala ya kufanya uchunguzi kujua tatizo na hata wataficha idadi ya majeruhi yote hii ni kumdanganya mama yao mambo ni super!
 
Hii ndio tuliambiwa ni treni ya kipekee na haipatikani popote pale afrika zaidi ya hapa kwetu?

Kiukweli samia na serikali yake ni janga kwa taifa.

Hakuna kinachofanyika kwa ufanisi chini ya serikali hii hakuna, kama kipo hebu kitaje
 
Typical cheap answers to very complicated issues, hii ndiyo akili ya KI-Afirika
spain-video-train.jpg

Hii ajali ilitokea Spain baada ya uchunguzi ikaonekana dereva aliingia kwa kasi kwenye bend na kusababisha derailment.

Hizi ajali hutokea mara nyingine kwa uzembe.
 
View attachment 3492266
Hii ajali ilitokea Spain baada ya uchunguzi ikaonekana dereva aliingia kwa kasi kwenye bend na kusababisha derailment.

Hizi ajali hutokea mara nyingine kwa uzembe.
Unajua kuna train ngapi kwa mwaka, na busy kiasi gani, kwa mfano network ya Japan, Europe, China- na zile kama Maghreb Train speed up to 350 -400; hii yetu ni vile simple, kwamba ipate ajali halafu ulinganishe na hiyo ya Spain? Beijing - Guangzhou ni umbali zaid kutoka Dar hadi Lusaka. Kuna train inachkua masaa kumi. Dar Lusaka unachukua masaa mangapi?
 
Hatuwezi kujilinganisha na hao lakini nilikuwa najaribu kusema ajali huwa zinatokea popote pale duniani.
 
Back
Top Bottom