Inaonekana ni derailment sio kila kitu tufanye ni siasa cha kujiuliza ni nini kimesababisha je ni service hafifu kama kwenye mabasi ya mwendo kasi? Naona wheels zimeng'oka kabisaWanakuambia imeacha njia, haijapata ajaliπ
Huenda hii miradi tumeifosi ila hatujawa tayari kuwa nayo, na kama ikiwa ni hujuma basi adhabu yake iwe kali.Msigwaaa Kiko wapi π€£π€£
Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU .
Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma .
View attachment 3492213
.
View attachment 3492214
Wasisingiziwe tu wenye mabasi uchunguzi wa kina ufanyike ili kubaini chanzo cha derailment.na kama ikiwa ni hujuma basi adhabu yake iwe kali.
Ukiwa kwenye daraja la masikini inasemekana ni Rahisi kupata mkopo. Ukiwa daraja la kati linalotokana na kujiimarisha kwako kwa utoaji huduma na kadhalika unanyimwa mikopo!??brt wameua, sasa wamehamia sgr hata airtcl iko mbioni kufa pia ...
Typical cheap answers to very complicated issues, hii ndiyo akili ya KI-AfirikaInaonekana ni derailment sio kila kitu tufanye ni siasa cha kujiuliza ni nini kimesababisha je ni service hafifu kama kwenye mabasi ya mwendo kasi? Nao wheels zimeng'oka kabisa
Ni mambo ambayo hutokea dunia nzima.
Mkuu mimi sio mtabiri ila hadi kufika jioni tutaona vipicha vya ajali za nchi nyingine ambazo machawa watakuwa wamedownload halafu wamelipwa buku 7 na kupewa hii script.Typical cheap answers to very complicated issues, hii ndiyo akili ya KI-Afirika
Typical cheap answers to very complicated issues, hii ndiyo akili ya KI-Afirika
Unajua kuna train ngapi kwa mwaka, na busy kiasi gani, kwa mfano network ya Japan, Europe, China- na zile kama Maghreb Train speed up to 350 -400; hii yetu ni vile simple, kwamba ipate ajali halafu ulinganishe na hiyo ya Spain? Beijing - Guangzhou ni umbali zaid kutoka Dar hadi Lusaka. Kuna train inachkua masaa kumi. Dar Lusaka unachukua masaa mangapi?View attachment 3492266
Hii ajali ilitokea Spain baada ya uchunguzi ikaonekana dereva aliingia kwa kasi kwenye bend na kusababisha derailment.
Hizi ajali hutokea mara nyingine kwa uzembe.
Hatuwezi kujilinganisha na hao lakini nilikuwa najaribu kusema ajali huwa zinatokea popote pale duniani.Unajua kuna train ngapi kwa mwaka, na busy kiasi gani, kwa mfano network ya Japan, Europe, China- na zile kama Maghreb Train speed up to 350 -400; hii yetu ni vile simple, kwamba ipate ajali halafu ulinganishe na hiyo ya Spain? Beijing - Guangzhou ni umbali zaid kutoka Dar hadi Lusaka. Kuna train inachkua masaa kumi. Dar Lusaka unachukua masaa mangapi?
AiseeMsigwaaa Kiko wapi π€£π€£
Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU .
Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma .
View attachment 3492213
.
View attachment 3492214
πππππππWanakuambia imeacha njia, haijapata ajaliπ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Pongezi kwa mama