AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kauli ngumu sana hii hususani akiambiwa aitolee ufafanuzi vizuri aamiri atalambishwa maneno ya uongo na kusifiwa kidogo nae kajaa anakuja kuusema mbeleWatoto wa vimemo, walio vizuri wanatupwaa kitaa wasage miguu
mteego wa nyani huoTutatenga trilioni mbili nukta tisa nane kwa ajili ya ukarabati 😁😁
Magari ya kifahari Mabosi wako wote huwa yanaagizwa kutoka nje yakiwa na Zero Kilometer! Halafu treni mnaenda kununua ya mtumba, huku mkipingana na sheria mlizoziweka wenyewe.Vyombo gani vimezuiwa kuripoti wakati hadi MillardAyo ameripoti? Au ndo Propaganda za kinyumbu
Labda Japan ya Nangurukuru lakini siyo hii yenye Tokyo kama mji mkuuJapan treni ina miaka 100 na 0 accident. 😂
Lipa kodi wewe mengine tuachie sisiMagari ya kifahari Mabosi wako wote huwa yanaagizwa kutoka nje yakiwa na Zero Kilometer! Halafu treni mnaenda kununua ya mtumba, huku mkipingana na sheria mlizoziweka wenyewe.
Matokeo yake ndiyo haya sasa.
Ndio budget za serikali zipo hivyo. Hata wakitaka kujenga shule ya milioni 50, watatenga milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyomteego wa nyani huo
Kuna wahuni washaanza kupiga hesabu za gari za bei mbaya hapo kwenda kuzipaki makwao kwa pesa za walipakodiNdio budget za serikali zipo hivyo. Hata wakitaka kujenga shule ya milioni 50, watatenga milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo
So na hii treni tutegemee kuona budget kubwa sana ikitumika kurekebisha
Sio chini ya huyu mama ni chini ya CCM.Chini ya huyu mama hakuna kitakachosalia salama!
Alianza vizuri mwisho kaharibu.Typical cheap answers to very complicated issues, hii ndiyo akili ya KI-Afirika
Hakuna takwimu za miaka 100Japan treni ina miaka 100 na 0 accident. 😂
Wametoa sababu ya.kuacha njia?Wanakuambia imeacha njia, haijapata ajali😀
Nadhani Shinkansen ya Japan inaenda zaidi ya 350 Kph kwa sasa.Japan treni ina miaka 100 na 0 accident. 😂
Nadhani hata competence ya drivers inatia mashak!Nini imesababisha hiyo derailment au ni uzembe au sabotage?
Kazi zenyewe za kununua sijui utaratibu wa kuajiri madereva unakuaje.Nadhani hata competence ya drivers inatia mashak!
Sina hakika kama kuna utaratibu mzuri wa ku-train locomotive drivers kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Hii ajali ni uzembe 100%. Tena ajali ya kizembe kweli kweli. Treni haiwezi kuacha njia hivi kama reli na treni havina tatizo linalotokana na uzembe.Wanakuambia imeacha njia, haijapata ajali😀
ChaiAisee