HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Uliataka ipite miezi mingapi?mbona mtotot anafariki hata siku moja hajamaliza?Hata miezi minne haijapita accident!!!!!!!!!!!
Kwako hiyo ni chuki? Backward mindset. Unajua kuangusha train au Boeing 777 hasara kiasi gani?Uliataka ipite miezi mingapi?mbona mtotot anafariki hata siku moja hajamaliza?
Acheni chuki za maji taka mbona magari,ndege,nk vinapata ajali vikiwa vipya hata siku moja tu
Ni kweli,Inaonekana ni derailment sio kila kitu tufanye ni siasa cha kujiuliza ni nini kimesababisha je ni service hafifu kama kwenye mabasi ya mwendo kasi? Naona wheels zimeng'oka kabisa
Ni mambo ambayo hutokea dunia nzima.
Tumshukuru Mungu hakuna mtu aliyepoteza maisha.Ni kweli,
Tulipata derailment itigi kitambo tu tukakaa siku pale.
na nafkiri SGR lilikua in slow motion kukaribia Ruvu station.
Km lingekua speed humo asingetoka mtu.
Kwa kutuletea ajali ya treniPongezi kwa mama
Mkuu, hiyo mijinga na mipumbavu ni ya kuipotezea tu wakati mwingine unaiacha inajibiwa na Mungu mwenyewe. Huko china, kwa mfano, zimetokea ajali ngapi?!!!!! Hv ni kweli japan hakuwahi kutokea ajali?!!!! Italy haijatokea ajali?!!!! Greece haijatokea ajali?!!!!!Vyombo gani vimezuiwa kuripoti wakati hadi MillardAyo ameripoti? Au ndo Propaganda za kinyumbu
Hivyo ni ajali 2 ndani ya miaka 60.Hakuna takwimu za miaka 100
Ila ajali za Train zimetokea nyingi tu Japan
Kuna mbili zilifuatana mwaka 1962 na 63 ambazo ziliuwa zaidi ya watu 200
Zipo nyingi na nina uhakika