AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Ndio hii?Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...
Tayari keshafanikisha... Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...
MAMA ANAUPIGA MWINGI....
Tatizo bei za nauli walizopropose TRC ni mara mbili ya mabasi...Latra wawaokoe maana zikipita hizo bei hiyo Reli itakufa kabla haijaanza labda waforce kuwaondoa mabasi kama mwendo kasi.
Hutaki....unaacha!π€£π€£π€£π€£Hii sio ya umeme hii.
πππHii sio ya umeme hii.
24,000/= tunafika Moro kutoka Dar. Nalipia twende.πππ
24,000/= tunafika Moro kutoka Dar. Nalipia twende.
Kuna kipande umeme ulikatika hapo katikati ya Soga na Moro ikabidi wawashe injini ya diesel ndiyo maana linajikongojaπ€£π€£π€£Naona ni kama inajikongoja au umeme hautoshi ?π
Kuokota makopo kuna jalala jipya Msamvu.Tunaenda moro kufanya nini Mad?