Treni ya umeme naona imeanza kazi

Treni ya umeme naona imeanza kazi

Keep on dreaming
Happ full. Huoni na mabehewa ya umeme full. Ndani 2*2 full AC full WiFi full USB full service cafeteria toilets sauna massage room.. Dar to Moro dk 60 yaani Mechi ya Morocco vs Frace haijaisha tushafika Msamvu.
 
Serikali inapokea Mabehewa lakini haifahamu hayo Mabehewa ni ya umeme au ya reli ya zamani.mpaka wakati wa matumizi ndo wanagundua kwamba ninya reli ya zamani. Swali lililobaki ni kwamba Nani ameyaagiza hayo Mabehewa isijekuwa kama vile vichwa vya treni vilivyookotwa bandarini
Vichwa vya treni VIMEOKOTWA BANDARINI... hahah
 
Kamuulizeni Kasim M.
Serikali inapokea Mabehewa lakini haifahamu hayo Mabehewa ni ya umeme au ya reli ya zamani.mpaka wakati wa matumizi ndo wanagundua kwamba ninya reli ya zamani. Swali lililobaki ni kwamba Nani ameyaagiza hayo Mabehewa isijekuwa kama vile vichwa vya treni vilivyookotwa bandarini
 
Tatizo bei za nauli walizopropose TRC ni mara mbili ya mabasi...Latra wawaokoe maana zikipita hizo bei hiyo Reli itakufa kabla haijaanza labda waforce kuwaondoa mabasi kama mwendo kasi.
Umesoma tangazo vyema?
 
Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...

Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...

MAMA ANAUPIGA MWINGI.

View attachment 2442562
Nje na kubadili chombo cha usafiri.Je kusafiri na treni ngarakakuliko gari au kuna mengine zaidi?
 
Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...

Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...

MAMA ANAUPIGA MWINGI.

View attachment 2442562
WIRE ZA UMEME ZIKO WAPI?

1670743529311.png
 
Mbona ilo loco nila reli ya zamani mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...

Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...

MAMA ANAUPIGA MWINGI.

View attachment 2442562
Hapa walikuwa wantest kwa kutumia power bank. Lipo vizuri
 
Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...

Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...

MAMA ANAUPIGA MWINGI.

View attachment 2442562
This is africa😂
 
Attachments

  • D822D8CA-CB8A-4952-AAE4-5E890CD83E65.jpeg
    D822D8CA-CB8A-4952-AAE4-5E890CD83E65.jpeg
    114.3 KB · Views: 7
Back
Top Bottom