Treni ya umeme naona imeanza kazi

Treni ya umeme naona imeanza kazi

Kwa wengine wetu tuliowahi kupanda treni za umeme huko majuu, tutajua tu kama yaliyomo yamo au laa......tunawasubiri kwa hamu.
 
Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...

Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...

MAMA ANAUPIGA MWINGI.

View attachment 2442562
Hivi sisi watanzania tumemkosea nini MUNGU?
Hivi sisi ni watu wa kupigwa tu kila mwaka? Yaani kuna watu wanajitajirisha kupitia migongo yetu na tunabakia kulalamika tu!!
Eeeh Mwenyezi MUNGU tufungua macho, masikio na mbongo zetu!!
 
Njia ya treni ni Standard gauge kweli mkuu, lakini hayo mabehewa (locomotives) ya Mtumba ndio SIO ya UMEME. AS USUAL, TUMEPIGWA BIG TIME.
Aiseee! wao wanasemaje? kweli Tanzania kichwa cha mwendawazimu....
 
Picha la kihindi hilo, Amita Bachan anampiga ngumi adui unasikia kishindo kikubwa kama bomu, na aliyepigwa ngumi anarushwa mita kumi pembeni. [emoji3][emoji3][emoji3] yani ni snema kwa kwenda mbele.

Acha kazi ziendelee. [emoji1535]
 
Back
Top Bottom