Treni ya umeme naona imeanza kazi

Treni ya umeme naona imeanza kazi

Happ full. Huoni na mabehewa ya umeme full. Ndani 2*2 full AC full WiFi full USB full service cafeteria toilets sauna massage room.. Dar to Moro dk 60 yaani Mechi ya Morocco vs Frace haijaisha tushafika Msamvu.
Haya kata tiketi tuwe wa kwanza kupanda
 
Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...

Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...

MAMA ANAUPIGA MWINGI.

View attachment 2442562
Escape from Sobibo
 
Hii TRC watatoa ufafanuzi mpaka wachoke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums372215509.gif
 
Kuna kipande umeme ulikatika hapo katikati ya Soga na Moro ikabidi wawashe injini ya diesel ndiyo maana linajikongoja🤣🤣🤣

Likifika Buguruni litatumia umeme msiwaze
Kwa mwendo huu inaweza isifike hata hapo Buguruni, maana kama hii ni ya umeme kama zile tunazoziona kwenye video basi hii bila shaka itakuwa imeyaona mengi na inakaribia kuumaliza mwendo
 
Back
Top Bottom