Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
CC Pascal MayallaTRC wamechoka kutoa ufafanuzi ndio maana sasa wapo kimya
Mawaziri pia
Wizara pia na washika dau wengine wote! Maana kila walipojaribu kufafanua hii kadhia ya mabehewa na treni ya umeme fafanuzi zao zilipishana ama ziligongana ama zilijichanganya na kuchanganyikiwa kabisa kuanzia
Aina
Bei
Mwonekano
Idadi
Upya
Uchakavu
Yalikotengenezwa
Yalikonunuliwa nknk